Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mihimili mitatu in the capital city..
Ikulu
bunge
mahakama
Ikulu
Acha tuendelee kuwa enjoy huwa sometimes nasikiliza kauli zao naishia kucheka tu 🤓🤓🤓Yani hawa kama Ethiopia tu.
Matambo meeengiiii raia tunawakamata mpakani wanatoroka nchi.
Tanzania Roads are awesome 👍👍View attachment 2888842View attachment 2888843View attachment 2888844HEHEHEView attachment 2888845
Huyo anahitaji nakozi makwenzi yaliyoenda shule!ningemjua alie karibu yako ningemwambia akumwagie maji ya baridi uamke toka usingizini😎
🙄🙄🙄🙄🙄🙄.Wakunya Wana njaaa 😆😆😆View attachment 2888864
Hizi ndio urban center za bongoslum. 😂 😂 😂enyewe mnaishi vizuri.....vizuli...lol...Long live CCM
View attachment 2888834
DREAM houses aisee........ile ujinga iko hiyo tanzania ya ukiswahili......smhHizi ndio urban center za bongoslum. 😂 😂 😂
Achana na Kodi hiyo ni Banda la ng'ombe au Banda la binadamu duu usikute tunabishana humu kumbe kanairo wanaishi kwenye hayo mabanda,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Qumamaqeeeee.
Hawa jamaa wana roho mbaya kisa kodi unamchomolea paa mwenzio!??😟😟😟
Mpaka nataka nilie daah😭😭😭😭
Hivi tumemaliza kulipa Mkopo wa China kwenye TAZARA?
View: https://twitter.com/ChenMingjian_CN/status/1750568002972495963?t=vcHCO6D_hhS2h6VuIBZg0A&s=19
Umeona Hilo Banda analoishi huyo mama lililoezuliwa kisa na landlord?DREAM houses aisee........ile ujinga iko hiyo tanzania ya ukiswahili......smh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wenzetu wana roho ngumu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Qumamaqeeeee.
Hawa jamaa wana roho mbaya kisa kodi unamchomolea paa mwenzio!??😟😟😟
Mpaka nataka nilie daah😭😭😭😭
Hata kuvumiliana hawajui!??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wenzetu wana roho ngumu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dream house za bongo sawa na Slums za NairoDREAM houses aisee........ile ujinga iko hiyo tanzania ya ukiswahili......smh
wobongo tulivyo caring 😂😂😂😂😂😂hawa sio wenzetu 😂😂😂Hata kuvumiliana hawajui!??
Kweli ukiweza kuishi Kenya wewe hata Haiti unaishi .
Ndio Ilikuwa $500 mln loan kwa Zambia na Tanzania ila deni limeshasamehewa!Aliekwambia ilikua loan ni nani???
Ukiweza kuishi kenya basi hata ukiingizwa motoni unaona ni maisha kawaida tuHata kuvumiliana hawajui!??
Kweli ukiweza kuishi Kenya wewe hata Haiti unaishi .
Sasa kama limesamehewa na sio leo wala jana anauliza nn huyo chawa?😅😅Ndio Ilikuwa $500 mln loan ila deni limeshasamehewa!