Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Los Angeles mwanangu ❤️❤️😘😘😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Screenshot_20240130-083018~2.png
 
Wakunya rudisheni Ardhi za watu,wenye nayo wamesanda huko 😆😆
 
You can’t import, as if you are talking to some guys wasioijua Kunya , the poor roads of Nairobi are full of Jalopies 15-25+ years old .
In Kunya Hata sasa watu wana clear proboxes na Vitz za mwaka 2003 halafu unaongea nini hapa , I have been to nairobi countless times , barabara zenu mbovu are full of Jalopies.
The only country in Sub-Sahara Africa to brag of atleast not importing old vehicles in South Africa pekee , and only because they manufacture and assemble most of car brands within RSA. . Nyie ni mafukara you can’t afford recent vehicles.
a typical car jam in nairobi is full of Jalopies halafu mtu anasema they don’t import old cars

View attachment 2888015View attachment 2888016View attachment 2888017haah
haaha huyo mmoja hapo juu kwenye express way ndio ameweza kulipia kupita hapo? hao wa chini waote ni juakali sio
 
Back
Top Bottom