Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilishangaa hata mm kaka eti jamaa anakuambia ile nyumba aliyopost chongchung ni nyumba ya tajiri, daah nikastuka sana alafu ni mtu anajifanya yuko vizuri financially, wallahi nawaambia hawa wakenya ni fukara sana kaka.
Kuna mmoja kasema wabongo wa humu JF ni fukaraπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒacha nikae kimya 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nilitaka nikuulize wewe hili swali kuhusu progress ya mashujaa monumement mana mpaka sasa itakuwa iko mbali sana.
Nina wiki sasa nahangaika mtandaoni kutafuta kuona picha za progress ya mashujaa monument πŸ˜…πŸ˜… ila itakua umefikia mbali sana kwasababu ule mradi ulitakiwa kukamilika within a year, yaani siku ya mashujaa mwaka huu ifanyike within government city na mradi ukiwa umekamilika 100%
 
Dom ina beat Nairobi
-1606914943.jpg
1706191517957.png
-103706307.jpg
1745720348.jpg
-391039604.jpg
1362612579.jpg
20240130_110233.jpg
20240127_164948.jpg
 
Kenya ZERO
Boat na Meli zinazosimamiwa na Shirika la Huduma za Meli kwenye maziwa:-
Ziwa Victoria:
1. New Victoria Hapa Kazi Tu,
2. New Butiama Hapa Kazi Tu,
3. MV. Umoja Kazi Iendelee,
4. MV. Clarias,
5.ML.Wimbi,
6.ML.Maindi,
7.MTV.Nyangumi,
8.MV.Ukerewe,
9.MV.Serengeti.

Ziwa Tanganyika
:1. MV. Liemba,
2.MT.Sangara,
3.MV.Mwongozo
na boti ya Kitalii inaitwa Sea worries.

Ziwa Nyasa:
1.MV.Songea,
2.MV.Iringa,
3.MV.Mbeya II,
4.MV.Ruvuma,
5.MV.Njombe.
 
Back
Top Bottom