Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wenzake wametoroka ang'ang'ane pekee yake, saa hii najua jamaa anatype kwa hasira sana. Hata ni kama angalia pia😂😂.
Hii weekend nataka kuwanyoosha.
1. Barabara
2. Buses
3. Bus Stands
4. Projects
5. Trade
6. Economy
7. Appartments
8. Buildings
 
Kibera slum has more electricity connectivity than Masaki😂
🤣🤣🤣👇👇👇 Kibera

1706451121070.png


1706451149090.png
 
Naonyesha reservoir ya kusupply maji wewe unanilete hydro electric dam. Yani miongoni mwa watu wasio na akili kwenye huu uzi upo hapo hapo mbele.
Hiyo ni Maji ya matumizi ya nyumbani, Kilimo, pamoja na umeme mzee. Ndio maana inaitwa Grand Dam 🤣 🤣 🤣 🤣 Usiogope mwaka 2124 mtafikia huku
 
Back
Top Bottom