Kwanza nataka ukubali kwamba you erred by saying that metal extraction ni soma la physics.So when you build a smelter you build for every metal element?
And what have I said that's not factual?You brought up the argument that because SA has minerals, we should be equal to them. In Tanzania, we started mining our minerals in the 1990s.
SA started in the 1880s.
Leta hoja wacha kuropoka. Leta facts.
For the next ten yearsTrust me, for the next ten years kazi yenu itakuwa hii hii kuiombea mabaya Tz kwenye mashindano makubwa kisoka kama haya, you know what!? Tz imepeleka wachezaji wa4 direct from NBC premier league to afcon na hao players wamewaweka benchi players from European leagues, this is the biggest achievement for East Afrika, na tutaendelea kuiwakilisha hii zone ya wapumbavu.
NB: Tanzania is Southern country not Eastern country.
Story za Abunwasi.Tanzania will have 4 CAF standards stadiums for AFCON 2027 mkapa, Aman, Arusha and Dodoma while Kenya will have one renovated Kisirani na UG will have one renovated Nakivubo.
Most teams will be based in Tanzania where opening and final games will be played.
CAF wana vigezo vyao kuhusu hii michezo kwanza muamko wa kupenda football watu wawe na uwezo wa kujaza uwanja ambapo Tanzania has proven that times and time again, pili transport convenience ambapo Tz kuna BRT orderly transport, Tatu Hotels za hadhi ya juu kwa delegates na mashabiki toka sehemu mbalimbali duniani, nne hospital za viwango vya juu katika kutoa huduma, tano shirikisho la mpira liwe active member wa CAF, sita ubora wa ligi husika na ushindani wa hali ya juu kwa club za ndani etc.
Sasa kwa hali hiyo nadhani unaweza uka deduce kuwa opening na finals zitafanyika nchi gani hapa EA.
Kula chuma hiyo hapaHow has it helped aliviate poverty in your country. You still leading this region in poverty indices
Before I tell you that, tell me why Tanzania leads this region in poverty index despite your vast mineral depositsTanzania eat her own foods lakini kenya kila mwaka ni njaa.
Tell me why kenya has hunger every year?
Hilo lilikuwa swali lako la awali. Uliuliza ndio nikakwambia hujui physics. So answer the question.Kwanza nataka ukubali kwamba you erred by saying that metal extraction ni soma la physics.
Ukishakubali hiyo, I'll take you back to where this discussion started when I quoted Joto la Jiwe's post about minerals processing
I told you when you write any thing here inatakiwa iwe fact. Where is the source of your claims?Before I tell you that, tell me why Tanzania leads this region in poverty index despite your vast mineral deposits
Unaturingia Chakula za jela?Mkuu coodip1 kula diko kama hili hapo kenya ni anasa kaka πππView attachment 2882442ukimuona mtu kenya anakula kama hivi ujue huyo ameshajipata kaka πππ
Dar port is a pale shadow in comparision to Mombasa port. Mombasa port is, and will always be the biggest and bussiest port this side of the Sahara
Kenya was greatly assisted by England. For now, they have only left you in ruins. Kenya is dying a normal death. And it dies in your hands looking at it.And what have I said that's not factual?
π€£ π€£ π€£ Do you have RO-RO?Dar port is a pale shadow in comparision to Mombasa port. Mombasa port is, and will always be the biggest and bussiest port this side of the Sahara
Ugly village with no planning. See how a good horizontal planning should look like.Dom government city View attachment 2882487View attachment 2882488
Shindaneni na Uganda kwanzaππWakenya tunawakaribisha sasa mje. Maana mmekuwa kama mmemwagiwa maji. Tuongelee Shopping Mall
SKYCITY MALL - Dar es salaam
View attachment 2882491
View attachment 2882492
Is this a mall?ππ
Rice is a food served to prisoners hapa Kenya.That u can't afford πππ the food for middle class Kenyans. No wonder munaandamana kwaajili ya ugali
Technology imekuwa sana. Bado unaishi miaka ya 80s. Check hii hapa leo leo π€£π€£π€£πππDar port is a pale shadow in comparision to Mombasa port. Mombasa port is, and will always be the biggest and bussiest port this side of the Sahara
All Kenyans are prisoner of Mama Ngina. π€£ π€£ π€£Rice is a food served to prisoners hapa Kenya.
But sisi tuliwagonga bao 3ππππ€£π€£We did play with greatest teams on which you do not match them in terms of quality.
Zambia 86th in Fifa ranking and DR Congo 64th in Fifa ranking.
Na hizo timu hazikuweza kutufunga na tumewamiliki kimpira.
Wewe endelea kukaa hapo hapo nafasi ya 110 ilhali sie tunakuja nyuma yako.
Why are Tanzanians always dumb? Mnashangilia chukula ya prisoners.ππAll Kenyans are prisoner of Mama Ngina. π€£ π€£ π€£
Wengine wenu wanapenda ubishi sana hata kwa mambo yaliyowazi. Venus star analazimisha usiku iwe mchanaIla mkuu extraction of metals sio CHEMISTRY kweli?
Nakakumbuka ka topic cha form three.
Ila Physics nakumbuka Expansion of metals.