Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,745
- 107,188
umeona ehee sasa fukunyua posts nilizokataa kununuliwa mabehewa second hand! Yaani taratibuu nilichokikataa kinakuja! Hapo TRC Kadogosa anapaswa kuondoka!Waturuki ni wezi tu kumamake zao.. mfanya biashara wa kweli ni Mchina na mkorea tu, hizi jamii za kizungu bado zina ideology za kizamani za unyonyaji tu .. piga ban zote zitatuchelewesha