ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,489
- 88,630
Kiambu si iko Lamu?Unaezakuta hapo kiambu ni umbali wa kwenda mbagala tu hapo😂
Mbagala mbona mbali sana.. 😂😂😂 kiambu to NAIROBI ni umbali wa Posta Ubungo tu kaka 😂😂👇Unaezakuta hapo kiambu ni umbali wa kwenda mbagala tu hapo😂
Hayana akili 🤣🤣Nani aliwaambia wa sign EPA?
View: https://youtu.be/imScQp2z3kc?si=y9QD_wy-Fg54OvG8 2020 taifa stars 4 kunyazero 1,tena tuliwafunga ndani ya banda lenu la kuku kisirani stadium,sema jingine wewe zwazwa
Between CHAN and AFCON, which one is more prestigious?We beat in CHAN qualifiers.
Wewe mkunyavuzi angalia clip hiyo,au unasubiri uende kilimani park upate wifi ya bure hauna bundle ya kuamgalia youtubeIs this your senior national team bongolala?
Teyari tunaviwanja vikubwa vya CCM ambavyo vinahitaji renovation ndogo tuu, lake Tanganyika (Kigoma) na Ali Hassan Mwinyi (Tabora) vingeweza tumika.Sio tuu Mwanza na Mbeya.Ivory Coast wamesambaza viwanja Mikoa yote sisi tupo tupo tuu.
Kwamba hatuna Trilioni 3 za miundombinu ya Afcon?
Huko fanyeni hizi renovations ila Mbeya kama Mkoa wa Kimichezo tunahitaji Uwanja Mpya kabisaa.Teyari tunaviwanja vikubwa vya CCM ambavyo vinahitaji renovation ndogo tuu, lake Tanganyika (Kigoma) na Ali Hassan Mwinyi (Tabora) vingeweza tumika.
Acha kupendelea kwenu, Mbeya haina kiwanja cha maana, itabidi kujenga upya, hiyo pesa utatoa wewe?Huko fanyeni hizi renovations ila Mbeya kama Mkoa wa Kimichezo tunahitaji Uwanja Mpya kabisaa.
Sipendelei tunastahili Kwa vigezo vyote.Acha kupendelea kwenu.