KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Your English comprehension is wanting…. It means the distance between us and the next African country is far..Miles ahead, which miles 😀😀😀
The fact that you identify yourself as a Black Putin tells me everything I need to know about you…🤣🤣🤣
Mbona umechange mada?
Au umegundua mmepewa kichapo na Botswana!
Ni mashindano gani ya kimataifa timu zenu zinashiriki?
View: https://x.com/ernestenoh1/status/1721822963308134840?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Inakuaga kiambu caunty siku naislum metropolitan ipo off duty 😂 kweli naislum ni ndogo kama kibamiaRuaka, kiambu county
View attachment 2880705
Kwani South Sudan wewe hawajakutom.ba? si juzi tu hapa hata damu hazijakauka,👇👇🤣🤣What gear have I changed? You gave an example using Botswana and I did the same with South Sudan. What's the difference?
About Olympics, you know we are Africans kings of Olympics au unajifanya umesahau?
We mwenyewe vp kuhusu South Sudan, c hawa hapa walikupiga cha mkwezi au umesahau 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vipi nyinyi kuhusu Sudan Kusini?
![]()
South Sudan beat Tanzania 2-1 in Cecafa U-18 tourney
Ngong Garang and Christopher Ungom scored for South Sudan.www.the-star.co.ke
Yani hapa umeongea ki kike kike, yani una wivu sana dada Nicxie , kula na udongo basi usubiri miezi ifike utoe kichwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ligi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
Kila siku nasemaga naislum bila aunties zake wengine 5 hana ubavu wa kupambana na DarJuja, Kiambu
View attachment 2880933
Ligi ya kenya ipeleke mchezaji afcon? Ligi ya kenya ni kama ya mchangani, typical amateur, kuna viwanja kule kenya vinachezwa ligi na havina nyasi, bingwa kenya anapata milioni 20tzs can you imagine?Hiyo haibadili chochote mzee kwamba Tz league is in Top five list of Africa's top leagues
Product ya league yetu ni wachezaji wengi tu.
Azizi ki -Bukinafaso
Fiston Mayele-Congo DRC
Jigui Diara- Mali
Hikoni Inonga-Congo DRC
Heb na wewe taja walau wachezaji wawili kutoka hiyo league yenu wanaocheza Afcon hata kwa mataifa mengine walichiliambali Kenya mana hamna uwezo wa kushiriki. 😂😂😂😂
Wanashiriki mbio za mita 100,000 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kings of Olympics na hamjafuzu!
Ni mashindano gani ya kimataifa timu zenu za mpira zinashiriki?
Mbona hutaki kujibu!
We beat in CHAN qualifiers.We bit you in AFCON lest you forgot
Tumetetemeka kweli 😂😂
View: https://vm.tiktok.com/ZM6qAEdy4/
Wanafaa kuletwa huku wafunzwe ku match kwanza na scouts wa primary school
Tumetetemeka kweli 😂😂
View: https://vm.tiktok.com/ZM6qAEdy4/
Wanafaa kuletwa huku wafunzwe ku match kwanza na scouts wa primary school
Walichakazwa na mwananke the black widow.Hiyo edit. We all know how Kenyans distribute negative propaganda about Tanzania. But the truth is only four Somalians Killed the whole Kenyan army at the Waste Gate.
Kwa hali ilivyo gantry cranes 2-3 zinahitajika Tanga port ASAP! Yaani zitaisaidia sana Dar Port huku mradi wa EACOP ukija kwa kasi nadhani mabomba hayatahitaji kuja Dar!