Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sipendelei tunastahili Kwa vigezo vyote.

Mkoa wenye Trilioni 10 plus GDP unasema unapendelea au unastahili?
Mbona humlalamikii mama Samia kwa kuwapendelea Wazanzibari kuboresha kiwanja cha Amani wakati hawachangii pesa ya maana kwenye uchumi wetu?
 
Mbona humlalamikii mama Samia kwa kuwapendelea Wazanzibari kuboresha kiwanja cha Amani wakati hawachangii pesa ya maana kwenye uchumi wetu?
Pesa itolewe na Serikali ya Mwinyi harafu useme nimlalamikie Samia? For what?

Kwanza mngejua,baada ya Dar, Zanzibar ndio Huwa inafuata Kwa makusanyo ya Kodi za TRA apart from Makusanyo Yao ya ndani.

Kiufupi Bara Inachukua pesa zao,wangekuwa mbali sana.
 
Serikali ya Mwinyi wapi wakati Tanganyika ndiyo inaibeba Zanzibar kwa kila kitu?
 
Kama Tanganyika inaibeba Zanzibar,Kuna haja gani TRA kukusanya Mapato Zanzibar? Si wawaachie harafu tuone nani anambeba mwenzie.
Hivi Zanzibar wanazalisha umeme upi? Hawa si walisamehewa deni la Tanesco wakati wa Magu? Kama siyo kubebwa na Tanganyikani nini? Hivyo viazi vya kutengeneza urojo sijui nini, unafikiri wanalima wao? You aint smart, are you?
 
Teyari tunaviwanja vikubwa vya CCM ambavyo vinahitaji renovation ndogo tuu, lake Tanganyika (Kigoma) na Ali Hassan Mwinyi (Tabora) vingeweza tumika.
Viwanja kwaajili ya AFCON sio issue lakini lazima tuangalie na facilities nyingine kama quality hotels, transport, Hospitals za level onayotakiwa na CAF, pamoja na other amenities sasa sio miji yote inaweza ikakidhi hivi vigezo. Ila nadhani Mwanza ingepaswa kuwepo kwenye kuandaa AFCON. Kwa sasa naona wamejikita kwenye Dar, Dodoma, Arusha na Zanzibar. Na hapa unaona kutakuwa na viwanja 4 Tanzania kimoja kenya na kimoja Uganda ili kutimiza idadi yaviwanja 6 kama Ivory coast. Hawa wenzetu ni wasindikizaji tuu kwenye hii AFCON
 
we jamaa bado sana kuijua jamhuri ya muungano wa TZ. Zanziba TRA afate nin? Wanakusanya kivyao kuptia ZRA na hakuna hata mia inayovuka maji kuja bara.
Wewe ni Mjinga hujui unachoongea.Ingia saizi tovuti ya TRA kaangalie makusanyo harafu uje ujione ulivyo mbumbumbu.

ZRA ni maalumu Kwa Zanzibar ila TRA Ina ofisi Zanzibar
 
Hivi Zanzibar wanazalisha umeme upi? Hawa si walisamehewa deni la Tanesco wakati wa Magu? Kama siyo kubebwa na Tanganyikani nini? Hivyo viazi vya kutengeneza urojo sijui nini, unafikiri wanalima wao? You aint smart, are you?
Kwani kutozalisha umeme inaondoa ukweli kwamba TRA Bara inakusanya pesa nyingi kutoka Zanzibar just second after Dar?
 
Viwanja kwaajili ya AFCON sio issue lakini lazima tuangalie na facilities nyingine kama quality hotels, transport, Hospitals za level onayotakiwa na CAF, pamoja na other amenities sasa sio miji yote inaweza ikakidhi hivi vigezo. Ila nadhani Mwanza ingepaswa kuwepo kwenye kuandaa AFCON. Kwa sasa naona wamejikita kwenye Dar, Dodoma, Arusha na Zanzibar. Na hapa unaona kutakuwa na viwanja 4 Tanzania kimoja kenya na kimoja Uganda ili kutimiza idadi yaviwanja 6 kama Ivory coast. Hawa wenzetu ni wadindikizaji tuu kwenye hii AFCON
Mbeya & Mwanza zinawekwa pembeni na Serikali wakati ni maeneo potential Kanisa na facilities zipo.

Mkoa kama Mbeya ni Mkoa wa Wanamichezo sio lazima Afcon ije huko ila ni muhimu Kwa sababu uko mpakani ni rahisi kufikiwa.
 
Kwa maendeleo ya mpira kila mkoa unapaswa kuwa na viwanja vizuri vya michezo. Tunahitaji mkakati maalumu kuinua michezo nchini.
 
Kama Tanganyika inaibeba Zanzibar,Kuna haja gani TRA kukusanya Mapato Zanzibar? Si wawaachie harafu tuone nani anambeba mwenzie.
Hopefully wewe hujui chochote, ni wa kupuuza wewe.. umeme unaotumika Zanzibar unazalishwa Tanganyika, chakula wanachokula Zanzibar kinazalishwa Tanganyika 97% nyama 99%, hakuna kitu chochote ambacho Tanganyika inahitaji kutoka Zanzibar NOTHING, kwasababu kama ni utalii Mbuga zote vya wanyama zipo Tanganyika, Milima mirefu and everything .. kama ni beaches hapo ndio wala usiseme, maana kutoka Tanga hadi Mtwara huo wote ni ukanda wa bahari. In fact muungano wetu na Zanzibar hauna ulazima wowote ukiondoa sababu za kiusalama.
 
Chakula mnawagawia Bure? Kama mnachukua pesa zao Kwa nini umeme wawalipe?

Punguza portion ya ujinga kichwani
Screenshot_20240124-190544.jpg
 
Back
Top Bottom