Hilo kombe unalotambia la Gormahia ni level ya tatu na lishafutwa halina thamani we Mkenya.Kwenye soccer Kuna nini?
Last time I checked, we beat you in AFCON kama burukenge
We are ranked ahead in of you in FIFA rankings
We are the only country in EA with a club holding a Continental title
Our local football clubs have always beaten your local football clubs.
We have participated in more AFCON competitions than you have
We've also won matches in AFCON (one of them against you) wakati nyinyi bado hamjui ushindi AFCON inatataste aje!
We've also sent players to European leagues and one of our own has even lifted the prestigious UEFA Champions League
So if I may ask, what bragging rights do you have over Kenya in matters football?
Ukitizama historia basi Brazil ingebaki kuwa timu bora duniani.
Sawa mmetuzidi ila hamjasogea mmeganda hapo hapo nafasi ya 110 Tanzania tumetoka nafasi ya 135 mpaka 121.
Tunasogea kaeni kwa kutulia.
Ukisema kuhusu wachezaji hata sisi tuna wachezaji wengi ulaya kwasasa.
Wengine wameshindwa kuja kwasababu ya kukosa uraia pacha.