President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,117
- 93,553
Kama huamini ngoja nikupatie
SAMIA HOUSING SCHEME- KAWE Dar es salaam
You know even with your complete hydropower project you still won't beat Kenya's installed power capacity?Mambo ya kawaida sana. Huna kitu cha kutushitua kama BRT, Electric SGR, Hydro Power etc?
The uniqueness of the picture is,What's unique in this picture if I may ask?
Unaota mchana mbona mkuu.?You know even with your complete hydropower project you still won't beat Kenya's installed power capacity?
Vijumba vitano tu? Hata Ruiru Affordable Housing iko na more units kuliko huu upuzi hapa
Can you prove this?You know even with your complete hydropower project you still won't beat Kenya's installed power capacity?
Kenya nzima hakuna kitu kama hikiVijumba vitano tu? Hata Ruiru Affordable Housing iko na more units kuliko huu upuzi hapa
Sasa mzee 3,300 ndizo nyingi sasa? 2025 Tanzania itakuwa na 5500+ MW
Ruiru Affordable Housing. Each block has 12 floors
😂😂😂 Asa unajiona una akali wewe.? We unajua sasahiv sisi tuko na miradi mingapi ya umeme na tukimaliza tutakua tunazalisha kiasi gani.?
Haya ngojeni 2025 Lakini kwa sasa tuko na double capacity yenu. Kwa sasa ridhikeni na hio 1600MWSasa mzee 3,300 ndizo nyingi sasa? 2025 Tanzania itakuwa na 5500+ MW
😂😂😂 Asa unajiona una akali wewe.? We unajua sasahiv sisi tuko na miradi mingapi ya umeme na tukimaliza tutakua tunazalisha kiasi gani.?
Haya ngojeni 2025 Lakini kwa sasa tuko na double capacity yenu. Kwa sasa ridhikeni na hio 1600MW😂😂😂 Asa unajiona una akali wewe.? We unajua sasahiv sisi tuko na miradi mingapi ya umeme na tukimaliza tutakua tunazalisha kiasi gani.?
Miradi yenyewe huwa hamumalizi? Treni mnajenga miaka kumi na bado hata haijaanza kazi.😂😂😂 Asa unajiona una akali wewe.? We unajua sasahiv sisi tuko na miradi mingapi ya umeme na tukimaliza tutakua tunazalisha kiasi gani.?
Upo nyuma sana kijana wanguHaya ngojeni 2025 Lakini kwa sasa tuko na double capacity yenu. Kwa sasa ridhikeni na hio 1600MW
"Will be built". Mnadhani sisi hatuna future power projects to be built?Upo nyuma sana kijana wangu
Tanzania Signs Contract For 150MW Solar Plant
The project will be built in the Shinyanga Region over two phases.
By Chriselle Moraes on
31st May 2023
ConstructAfrica
www.constructafrica.com
Sikatai, lakini kwa sasa nadhani mnafahamu tuna double your installed capacityUpo nyuma sana kijana wangu
Tanzania Signs Contract For 150MW Solar Plant
The project will be built in the Shinyanga Region over two phases.
By Chriselle Moraes on
31st May 2023
ConstructAfrica
www.constructafrica.com
Unaumia ukiwa wapi?Sikatai, lakini kwa sasa nadhani mnafahamu tuna double your installed capacity
www.power-technology.com