Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KIla kitu tunazidi kuwaacha

View attachment 2873544
But you don't use Uber, that's why they are leaving Tanzania.

Screenshot_20240116-210320_1.jpg
Screenshot_20240116-210343_1.jpg
 
Zaidi ya vipicha vya majengo hamna kitu kingine cha kuposti?
Those are individuals projects. I wanted to show you how Kenyans are wealthy. We don't wait for the government to construct houses for us. They can only complement.
 
Those are individuals projects. I wanted to show you how Kenyans are wealthy. We don't wait for the government to construct houses for us. They can only complement.
Unazungumzia vimiradi vya foreigners.? Angalia vile individual Tanzanians walivyo na uwezo, hawa sio bed sitters ILazo DODOMA 👇
View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=5QFg09NREMH5cKws. Hapa unazungumzia watu wa uchumi wa kawaida, sio wapangisha chumba kwenye vigorofa vya wazungu hapo kunya land.
 
Hizi zinajengwa na watu maskini kule kwa wajaluo. Actually those Luo villagers have more beautiful houses than those ugly structures you are showing here.
 
So what? I have my own car. Unataka nitumie uber? Natumia mara chache. But vijana wangu wanatumia.
Those few times umetumia zilete hapa tuone. I also have a car but I still uses the taxi and I have shown you the evidence of me using Uber.
 
Back
Top Bottom