Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo hizi ni nyumba za maskini mzee.? 😂😂😂 Zenye u are claiming.? Do you want me to show you nyumba za poor Kenyans si uko ushagoo .. au na wewe unataka nikionyeshe nyumba za Rich Tanzanians in our villages.? Unabadili mada mzee.? 😂😂😂 Vimiradi vya vi gorofa vya foreigners vs individual Tanzanians houses (mtanzania wa kawaida) check out vile nyumba hufanania ground 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1MR4tZNz88/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==. Hawa si wapangisha vymba kwenye vigorofa vya wazungu hapo kunya land.
 
Unaonyesha nyumba za wadosi moja moja uko ushagoo kwenu, unadhani Watanzania hawajengi nyumba kali ushagoo.? Ulijaribu kubadlisha mada.? 😂😂😂😂 Baada ya kuona watu wa kawaida tu vile wanamiliki nyumba zao in this magnitude.? 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1MR4tZNz88/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==. Show me eneo lolote Kenya where Normal citizens wamejenga nyumba zao kali kwenye eneo kubwa kama hili. Anywhere in Kenya even in Naipori.
 
For your information, these are not rich people.

Dodoma Vs A village in Kisumu County, Luo Nyanza.
Screenshot_20240116-223842_1.jpg
 
Unaonyesha nyumba za wadosi moja moja uko ushagoo kwenu, unadhani Watanzania hawajengi nyumba kali ushagoo.? Ulijaribu kubadlisha mada.? 😂😂😂😂 Baada ya kuona watu wa kawaida tu vile wanamiliki nyumba zao in this magnitude.? 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1MR4tZNz88/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==. Show me eneo lolote Kenya where Normal citizens wamejenga nyumba zao kali kwenye eneo kubwa kama hili. Anywhere in Kenya even in Naipori.

Okay, let's do Dodoma with a certain village known Uyoma in Siaya County.
 
Kila mtu ni mbaya wa sura Kenya due to poor nutrition. Imagine, mtu anakula mikate na nzige tangu mtoto mapaka anakua, sura ya kupendeza atatoa wapi?
Alafu sijui kwnn, huwa wanakuwa wamekomaa kweli kweli, mkenya wa miaka 25 huku kwetu ni mtu mzima wamiaka 45, sijui huwa wanaongopa umri wa kwenye passport au sijui nivipi wallahi.
 
Those few times umetumia zilete hapa tuone. I also have a car but I still uses the taxi and I have shown you the evidence of me using Uber.
Wewe limbukeni muiba picha za pesa za Freemason mtandaoni ukidai ni zako leo uwe na gari alafu usioneshe? Na kwa kazi unayofanya utasubiri sana kununua gari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom