chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,034
Wazee wa sevisi ikonomi 😂😂 wanataka kwenda kutoa service kwa vikongwe wa Kijerumani, Kunyaland ni aibu na fedheha ya Africa mababu zao walipinga utumwa lakini wao wanalazimisha umanamba kwa kupiga magoti kabisa 🚮🚮Hawa jamaa wanatia aibu sana, now wanaonesha uwakala wao wazi wazi, hizi ni level za juu sana za uomba omba.