ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
kwahiyo unataka kusema JPM aliyekuwa anatokea huko hakuhusika? Na kama hakuhusika mbona asimfurumushe Kagame?Yan nilijua tu kwa chuki zako zisizo na maana utatoa comment kama hii.
Hii ishu yote mim naifaham.. JPM mtoe hapa
Kama magufuli asingezaliwa Tanzania sijui saizi tz ingekuwajeHuyo achana naye mpuuzi mmoja hivi, wote wanaompinga magu tumegundua hawana hoja za msingi, ukiwabana kwa facts wanaishia kusema sukuma gang, hawana hoja achana ndo cz kila mtu anajua magu alipoitoa hii nchi.
Kuna watu wanaumiaKama magufuli asingezaliwa Tanzania sijui saizi tz ingekuwaje
Amfurumushe kwa mantiki/sababu ipi? Rais haruhusiwi kuwekeza nchi nyingine? Next time ongea kwa facts, sio kupayuka payuka tu.kwahiyo unataka kusema JPM liyekuwa anatokea huko hakuhusika? Na kama hakuhusika mbona asimfurumushe Kagame?
yet nchi mzima hamna barabara standard kama huyo, freeway!!!!!
sasa basi nikisema wewe una chuki binafsi na mwenye mabasi ya Blue coast nitakosea? rival kwa biashara zako pia nitakosea? Na hiki ndio ninachopinga!Amfurumushe kwa mantiki/sababu ipi? Rais haruhusiwi kuwekeza nchi nyingine? Next time ongea kwa facts, sio kupayuka payuka tu.
Kabila ana miradi mingi tu Tanzania (akiwa Rais na baada ya kustaafu), mengine imeanzishwa kipindi cha Magu, na mim ni mshirika wake pia. Lkn Magu hayupo popote
Hvi kweli 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇yet nchi mzima hamna barabara standard kama huyo, freeway!!!!!
Kazi ni mazebra crossing tupu afta 300m
Umekosea, otherwise leta evidence.. hatuhusiki hata na mabuses. Acha kupayukapayuka au kujikuta mjuajisasa basi nikisema wewe una chuki binafsi na mwenye mabasi ya Blue coast nitakosea? rival kwa biashara zako pia nitakosea? Na hiki ndio nichapinga!
wacha ku-character assasinate makampuni ya watu mpumbavu wewe! Huyo Kabila businesspartner wako unajua anahusika na upotevu wa fedha kiasi gani DRC?Umekosea, otherwise leta evidence.. hatuhusiki hata na mabuses. Acha kupayukapayuka au kujikuta mjuaji
Sawa ni mpumbavu 😂wacha ku-character assasinate makampuni ya watu mpumbavu wewe!
Kwako wewe unye wewe akinya mwengine kaharisha! Ndiyo arguments unazoleta humu ndani! Biashara ni wewe na Kabila ila huyo baba na Kagame hapana! usitumie JF vibaya!Sawa ni mpumbavu 😂
Nikionaga mtu anatukana, najua hamna kitu 😂
🔰🔰🔰🔰🔰Umesoma wapi mkuu chanzo chake ni cha uhakika?!, Maana niko na mzuka sana wa vituo!
Na mimi nimeona kwenye Vituo leo , Ni design ya Awamu ya kwanza .
Nimeshindwa kunasa kile kituo chini ya Mfugale 😂
View attachment 2868892
View attachment 2868893
Nyerere alikua na nia nzuri sana lakini isiotekekezeka (unrealistic) kwa caliber ya viongozi wengi wa Africa, ni wachache kama yeye na Magufuli wangeweza kuishi the declaration lakini sio wote, kutokana na huo uhalisia wangewapa tu uhuru kwa viongozi waliokua tayari kwenye biashara kama kina Kambona na Mtei wa chadema kuunda trust na kuendelea na biashara zao as long as zinafata sheria na kanuni za Tanzania, sioni shida yoyote kwa kiongozi kufanya biashara kama anapata deals kwenye competitive atmosphere ambayo ipo regulated na 'independent' agency ya serikali.Kuhusu azimo la Arusha, umehoji kirahisi sana, kama mtu anayeishi ulimwengu wa 2024, wenye high speed internet na smart phone. Ukisahau kuwa kwa kipindi kile Afrika ilikuwa imechafuka na Tanzania ilikuwa na matatizo mengi sana yaliyofanya kuwekwa sera zile.
Hata hivyo, haya mambo ya kuwa mfanyabiashara huku ukiwa ni mtumishi wa serikali yanaleta changamoto nyingi sana katika maendeleo ya nchi. Kama mtu anataka kufanya biashara waachie wengine kazi ya umma afanye biashara yake.
Nyerere alikua na nia nzuri sana lakini isiotekekezeka (unrealistic) kwa caliber ya viongozi wengi wa Africa, ni wachache kama yeye na Magufuli wangeweza kuishi the declaration lakini sio wote, kutokana na huo uhalisia wangewapa tu uhuru kwa viongozi waliokua tayari kwenye biashara kama kina Kambona na Mtei wa chadema kuunda trust na kuendelea na biashara zao as long as zinafata sheria na kanuni za Tanzania, sioni shida yoyote kwa kiongozi kufanya biashara kama anapata deals kwenye competitive atmosphere ambayo ipo regulated na 'independent' agency ya serikali.
And that was my point, mara nyingi offshore account zinadrain economy hasa kama ni za viongozi na hizi accounts huwa wanafungua viongozi wanaotoka kwenye mataifa yenye hostility environment kwa umiliki wa mali kwa viongozi wa umma, sasa kuliko hizi pesa zikanufaishe kwengine kwanini serikali isiweke sera nzuri kwa viongozi wa umma nao kuwekeza kwa amani bila kubanwa na masheria ya ajabu ajabu, viongozi wa umma wana mishahara mikubwa na exposure na connections za kimataifa tayari ni potential kama tukiwa na positive thoughts kwamba wataleta positive impacts kibiashara nje na political positions zao kuliko kudhani ni majizi tu!Baada ya azimio la Arusha likafuata azimio la Zanzibar.
Hakuna haja ya kujificha nyuma ya mgongo wa watu wakati tayari sera za uchumi zimebadikilika. Ni bora kuwekeza hapa hata Kwa proxy names maana kuna fursa zinapatikana kuliko kuchimbia fedha ndani au kuweka in offshore accounts.
And that was my point, mara nyingi offshore account zinadrain economy hasa kama ni za viongozi na hizi accounts huwa wanafungua viongozi wanaotoka kwenye mataifa yenye hostility environment kwa umiliki wa mali kwa viongozi wa umma, sasa kuliko hizi pesa zikanufaishe kwengine kwanini serikali isiweke sera nzuri kwa viongozi wa umma nao kuwekeza kwa amani bila kubanwa na masheria ya ajabu ajabu, viongozi wa umma wana mishahara mikubwa na exposure na connections za kimataifa tayari ni potential kama tukiwa na positive thoughts kwamba wataleta positive impacts kibiashara nje na political positions zao kuliko kudhani ni majizi tu!
TB yako imepanda kichwani naona
wewe ndio mjuaji huyo baba hana haja kuhusishwa na GGM na hata na Kagame yeye kaeleza biashara yake, nini negativity halafu unaenda kuturingishia mishemishe zako na Kabila! Wacha double standards nyoko wewe! Akili yako inapimika huna ustaarabu wa upande mmoja kuongelea maovu upande wa pili kutukuza! Hilo tu! Haihitaji nguvu huyo baba ni rival kwa biashara zenu kwa jinsi utavyotuaminisha wewe ni sawa kuwa kijakazi wa Kabila lakini Mtanzania mwingine hapaswi kuwa kijakazi wa Kagame kama unavyomuongelea huyo Baba!😂😂
Ila humu ndan kunachekesha sana. Hujui hata mtu anatetea nin 😂
Mtu akishiba ugali anajikuta tu mjuaji wala hata hajui anachosimamia, wengine huishia kutukana, wakidhan hutokula msosi kisa umetukanwa 😂
- Hoja ilikuwa Magu kuhusishwa kwenye ishu ya GGM, nikasema hakusiki
- Hoja ikabdilishwa kuwa Kagame angefurumishwa kwa kuwekeza Tanzania. Then nimetolea mfano wa Kabila amewekeza Tanzania, mbona hafurumishwi
- Baadae hoja ikabdilishwa tena, eti nina chuki na mtu wa bluecost ( kisa uwepo wa Kagame) kisa nina ushirika na Kabila. Kabila na Kagawe wenyewe hawana biashara zinazofanana.
Vijana humu akiongozwa na kijana wangu ChoiceVariable huwa mnafurahisha sana 😁