Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Past days and Past today are two different words. Yani unaandika tu vitu hujui 😂😂. You typed "Past Today" which is not what's in your google definition.

You are the dumbest person I have ever met.
umejipiga na ukuni unanusia harufu kubali mzee wangu.
 
Kiambu county, Western BYPASS, CLEAN
FB_IMG_1704974008014.jpg
 
180km/hr? 😂😂😂 Nothing special there. Just same maximum speed as my car.
Gari yako inabeba 4 passengers at that speed wakati hii train inabeba 1000pax at that speed. Halafu gari yako inachafua mazingira sana.
 
Shehena ya parachichi ambazo hazija komaa kutoka kenya zakamatwa mpakani namnga zikitokea kenya,
Hii imekaaje.
Chanzo ITV

Nimefurahi sana kukamatwa kwa shehena hiyo ya Parachichi changa ambazo hazina viwango.

Waliingiza Tanzania ili wafanyie packaging hapa na labeling ili mzigo uonekane umetokea Tanzania. Washenzi wanataka kutuharibia soko letu huko nje kwa kuleta uzandiki wao wa kipuuzi.

Bahati nzuri hila zao zimegundulika mapema na kuzuia. Ni zaidi ya Tani 33 za Parachichi. Hawa jamaa wako serious kutuchafua huko nje na kuharibu image yetu kimataifa. Inatakiwa kulala nao mbele kwa speed na nguvu zaidi ya huo utoto wao.

Kitengo Chao kimeishiwa mbinu bado Kipo Dunia ya zamani ya propaganda za maneno matupu.
 
Mawazo gani hayo Kwa mfano?Wewe utakuwa ni mbumbumbu mmja hivi,alikuta Bandari haziboreshwi? Amekufa kazi ya kuboresha imeisha?

Mbona uboreshaji mwingine ulikamilika awamu yake Kwa nini hatukuona volume kubwa ya mzigo?

Punguza kuvimbiwa ujinga
Kazikuta bandari ya Tanga na mtwara ni magofu kaikuta bandari ya Dara es salaam hali Jojo kaiongezea kina na kaongeza berth Katia sio chini ya trillion Moja hapo ndo unaona matunda yake Leo hii haya sema wewe kubwa jinga ni lini hizo bandari ziliboreshwa kabla ya magufuli?
 
Udhoofu upi uliokuwepo hapo Dar Port? Yeye ndio alikuwa wa kwanza kuongeza kina? Je Kwa Sasa uongezaji wa kina umekoma?

Kama aliboresha Bandari za Tanga& Mtwara kuna shida gani? Na wanaoboresha Bandari zingine Kwa Sasa nao tuseme wanaishi mawazo ya Mwendazake au?

Nimeuliza alifanya maboresho sawa why mzigo haukuongezeka by his time? Utumwa wa fikra zile zile za nikifa miradi yangu itakufa eti hakuna mwingine wa kuiendeleza 🤣🤣
 
Yeye ndo aliyeanzisha hao wanafuata nyayo
 
Back
Top Bottom