NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Brand New chopper unboxing
View: https://www.instagram.com/reel/C19UhrsIR98/?igsh=MWFyOHM3bWRxYW90ag==
Videographer anajua pia 😎
Brand New chopper unboxing
View: https://www.instagram.com/reel/C19UhrsIR98/?igsh=MWFyOHM3bWRxYW90ag==
Na mimi nimeona kwenye Vituo leo , Ni design ya Awamu ya kwanza .Ingependeza sana, nimesoma mahali kwamba phase 3 itakua na design ya phase 1, sio sawa
inabidi tu-save hii picha maana kitushuka soon!
Why should I be bothered with unmarked roads?Zanzibar is coming up 👇View attachment 2868774.. umeona Zanzibar iyo.? Teargas. 🤣🤣🤣 Hapo unatamani ukaing'oe hiyo barabara
Your trains have a maximum pax of 500. Kenyan trains do 1800 pax.Gari yako inabeba 4 passengers at that speed wakati hii train inabeba 1000pax at that speed. Halafu gari yako inachafua mazingira sana.
Always jua kali, kwani mnashindwa kuziba hayo maudongo kwa cement? yanaleta picha mbaya ni kama village Fulani hivi.Kiambu county, Western BYPASS, CLEANView attachment 2868850
😂😂😂😂😂😂 Alooh Kunyaland poverty level ipo juu mpaka serikali haitaki wananchi wake inataka iwapunguzie kwengine lakini hawawezi kuwaambia ukweli kwamba waache kufyatuana kama panya 😂😂😂
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1744967210408243639?t=qdlh3PEKvg8FsKox2Zqmkg&s=19
Huyo achana naye mpuuzi mmoja hivi, wote wanaompinga magu tumegundua hawana hoja za msingi, ukiwabana kwa facts wanaishia kusema sukuma gang, hawana hoja achana ndo cz kila mtu anajua magu alipoitoa hii nchi.Kazikuta bandari ya Tanga na mtwara ni magofu kaikuta bandari ya Dara es salaam hali Jojo kaiongezea kina na kaongeza berth Katia sio chini ya trillion Moja hapo ndo unaona matunda yake Leo hii haya sema wewe kubwa jinga ni lini hizo bandari ziliboreshwa kabla ya magufuli?
Huyu mwamba anamiliki mabasi 500 from Geita. We kima njoo ujiue uku Teargas 🤣🤣 👇
View: https://www.instagram.com/p/C198EgbtDpZ/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==.
Ahsante kwa mchango 😁 😁 😁 🤣 🤣Nyinyi hao white individuals hawataki hapo kwenu kwa dirt roads kila mahali.....
Endelea kutetea maghorofa kama ndio chakula 😁Nairobi has more tall buildings than entire Tanzania. By the way GTC is looking for a watchman, should I sent you the link which you use for application?
Soon huyu Mchina ataanza kuitwa Mtanzania 😂😂
View attachment 2868075
Kwani kuna shida gani mchina kuitwa mtanzania?
Ni kweli hao njama yap ni kuharibu siko la tanzania ila wamenaswaShehena ya parachichi ambazo hazija komaa kutoka kenya zakamatwa mpakani namnga zikitokea kenya,
Hii imekaaje.
Chanzo ITV