Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hicho unachokisema ndiyo unrealistic, kwasababu kinaleta mgongano wa kimaslahi na kibaya zaidi kinatengeneza dhana au utamaduni wa kupiga. Mfanyabiashara wa kweli kama Mengi (RIP) hawezi kung'ang'ania ajira serikalini, ataacha tuu ajira, pale anapoona kuna opportunity ya biashara.

Lakini waliotuletea democracy wana Marais na wanasiasa wengine ambao ni wafanya biashara wakubwa sana na waliperform vizuri kwenye roles zao both kama wanasiasa na wafanya biashara, marekani Marais kama Donald Trump, George W., George H.W. , Jimmy Carter, Harry Truman, Abraham Lincoln, Andrew Johnson, Warren Harding etc walikua ni wafanyabiashara wakubwa lakini huoni katika history wakihusishwa na ubadhirifu mkubwa kiasi cha kufilisi office zao kwaajili ya biashara zao due to conflicts of interests.

Kikubwa ni kuwekwa tu kwa mazingira mazuri yatakayofanikisha roles zote ziende simultaneously nonconflicted sababu bado tu hawataacha kufanya biashara regardless of whatever declarations sasa si bora tu iwe formalized in a positive manner!

Kama tuliweza kucopy democracy kwao tucopy pia how they made that possible!
 
Ebu nionyeshe contractor in that picture.
We kima hiyo barabara imeanza kutumika juzi, unabishana hadi kwa vitu vyenye hujui chochote kuhusu 🤣🤣🤣👇
Screenshot_20240112-153845_1.jpg
Screenshot_20240112-153851_1.jpg
.. juzi tu ndio imeanza kutumika 👇
View: https://youtu.be/vnXLLq5ORTU?si=Mu3n76avaMgL9Z5r. Bisha tena kichaa wewe
 
The top 10 tallest buildings in Africa

1. Iconic Tower in Egypt (height 393.8 meters)
2. Mohammed VI Tower in Morocco (height 250 meters)
3. The Leonardo in South Africa (height 234 meters)
4. Carlton Centre in South Africa (height 223 meters)
5. Commercial Bank of Ethiopia Headquarters in Ethiopia (height 209.3 meters)
6. Britam Tower in Kenya (height 200.1 meters)
7. New Administrative Capital D01 in Egypt (height 196 meters)
8. New Administrative Capital C01 in Egypt (height 190 meters)
9. GTC Office Tower in Kenya (height 184 meters)
10. Ponte City Apartment in South Africa (height 172.8 meters)
 
Mnatumia unmarked roads? Typical lazy Tanzania.
We kipapa kichafu. Barabara haiwezi tumika while ukiendelea na ujenzi.? Mwanzo ukitaka kuona mkandarasi akiwa site, saivi umeonyesha umekimbilia habari zingine 🤣🤣🤣 we jamaa ni mpumbavu wa mwisho zaidi humu ndani.. chuki won't do you no good lil sis.
 
We kipapa kichafu. Barabara haiwezi tumika while ukiendelea na ujenzi.? Mwanzo ukitaka kuona mkandarasi akiwa site, saivi umeonyesha umekimbilia habari zingine 🤣🤣🤣 we jamaa ni mpumbavu wa mwisho zaidi humu ndani.. chuki won't do you no good lil sis.
Come back when the road is marked.
 
Back
Top Bottom