Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa matakataka Yako hapa

Basi ni hizi
-733609168.jpg
459677155.jpg
-318691904.jpg
 
It's only Rostam Aziz ndio alizaliwa Tanzania, babake na Babu yake wote walizaliwa Iran ndio wakakuja Tanzania.
View attachment 2868579
Wewe kweli akili huna!! Yani umepost kitu kinasema 5th generation family halafu hapo hapo unasema mtu ambae ni 5th generation eti sio mtanzania.

So baba yake alimzaa akiwa na 120 years ama??
 
Magufuli kafa ila mawazo yake yatadumu milele kama asingekuwa yeye hizi bandari zisingefunguka
Mawazo gani hayo Kwa mfano?Wewe utakuwa ni mbumbumbu mmja hivi,alikuta Bandari haziboreshwi? Amekufa kazi ya kuboresha imeisha?

Mbona uboreshaji mwingine ulikamilika awamu yake Kwa nini hatukuona volume kubwa ya mzigo?

Punguza kuvimbiwa ujinga
 
Back
Top Bottom