Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's only Rostam Aziz ndio alizaliwa Tanzania, babake na Babu yake wote walizaliwa Iran ndio wakakuja Tanzania.
Screenshot_20240111-170524_1.jpg
 
Na hapo ni kutokana na ugumu wa kupata uraia wa Tanzania, kumbuka ukitaka kuwa mtanzania ni lazima uukane uraia wa nchi yako, tofauti na vinchi vingine kama Kenya uraia ukiutaka asubuhi jioni ushaupata na bado uraia wa nchi yako unaendelea nao. Kuna video iliwekwa humu ya yule mmama mkenya aliyebadili uraia kuwa mtanzania mbona aliimba, alipata tabu sana aiseee.
 
Hiki kieneo ukiitoa GTC towers ni sawa na kawe tu 👇View attachment 2868565gorafa za maana ni hiyo gtc pekee 🤣🤣🤣
But that's not Westlands 😂😂😂. Westlands inaishia GTC, hiyo barabara ndogo nyuma ya GTC ni boundary ya westlands na parklands. So whatever you are pointing is Parklands, which is better than anywhere in Tz.
 
Hilo eneo level yake ni kawe tu mkuu. 🤣🤣🤣🤣 Whether you like it or not.
 
It's only Aziz ndio alizaliwa Tanzania, babake na Babu yake wote walizaliwa Iran ndio wakakuja Tanzania.
View attachment 2868579
So babaake alizaliwa 1850? mbona wewe huna akili namna hii? by the way hapa hatumuongelei babu wala bibi, tunamuongelea Rostam ambaye ni mtanzania aliyewekeza parefu huko kwenu kuliko matajiri wote Kenya.
 
Kunyaland haina citizenship by birth? Mkunya usiejua maana ya pharmaceuticals sishangai kutojua aina za citizenships 😂😂😂
Citizenship by birth doesn't change someone's origin. Idiot😂😂😂
 
So babaake alizaliwa 1850? mbona wewe huna akili namna hii? by the way hapa hatumuongelei babu wala bibi, tunamuongelea Rostam ambaye ni mtanzania aliyewekeza parefu huko kwenu kuliko matajiri wote Kenya.
Rostam Aziz is from Iran. Watanzania ni wachawi kama wewe😂😂
 
In East Africa you will only find this bus in Kenya. One of this can buy 5 of those Chinese scraps in Tz.
1704663937503.jpg
 
Back
Top Bottom