KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Hilo jina la Mashashola ni jina la wanyama.
a.k.a mashashogaHilo jina la Mashashola ni jina la wanyama.
a.k.a. mashakahola😎a.k.a mashashoga
Mie Nangoja mwekezaji wa Dubai! Maana nilishtuka DART kununuliwa kule Dubai!Mimi nilitegemea vingekiwa bora zaidi ya hata hivi vya awamu ya kwanza. Viwe kama vya joburg au cape town au sasa kule Dakar. Viwe na AC , TV mabango ya matangazo ya umeme. Garama sio tatizo, wangeweka mabasi ya gesi. Garama zingeshuka sana na hivi vitu vingine wangeweza kufanya kabisa.
Tatizo maono tu!
Unakua na wivu wa kike mzee.? 🤣🤣 The roads down there 👇Alafu mabarabara zote hapo ni takataka.
Nani atanunua hapo sasa???
Watu mnatakiwa kujua data analysis sio kusoma tu data na kuruka nayo, Kunyaland na Uganda wanaimport vitu vingi ambavyo Tanzania tunazalisha ndani hatuwezi kukimbizana nao kwenye wingi wa mzigo wanaouingiza tu bila kuzingatia wanaingiza nini!
Hivi vyote kwa Tanzania tumejitosheleza lakini Kunyaland wanaimport
View: https://twitter.com/ricetex/status/1712902004434260036?t=mCOP5_Sx8q1Vfy2mRDHGnA&s=19
View: https://twitter.com/IrriHub/status/1195251798531100672?t=zAgZC9C6IhKqig7wGoO4mg&s=19
Hiki ni kichekesho bora mwanzoni mwa 2024.Westlands pekee is better the Dar yote
View attachment 2867693View attachment 2867695View attachment 2867696
Yan sisi tusifanye maendeleo eti tunawaonea wivu,kupiga hatua kwetu eti tunawaonea wivu 😀,hamna jirani mnafiki kama hawa kundu0,hawa ndio wale majirani jirani akinunua gari ananunaHuu ujinga mmeanza nyie na iko sponsored na serikali yenu na hakuna Mtanzania yoyote atapoteza muda wake kuwajibu.
Ukitoa hizo GTC towers hiyo Westland mi kama kawe tu.Westlands pekee is better the Dar yote
View attachment 2867693View attachment 2867695View attachment 2867696