Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hoja ni importation kubwa ya vyakula ambayo inaibeba Bandari ya Mombasa na sisi Kwa nini tusi export zaidi mazao ya Kilimo ambayo tuna comparative advantage Ili yaibebe bandari ya Dar?

Pili net revenues zinazozalishwa na Bandari za Kenyaland na Tzn zikoje Ili tukinganishe?

Mwisho Tunatakiwa kuhakikisha mizigo ya DRC,Rwanda, Burundi na Tanzania hakuna hata tani 1 inapita Mombasa Kwa sababu sie ndio tuna faida ya kijiografia zaidi na hao majirani.
Mazao tuna export sana tu lakini yanaenda hinterland countries ambazo hazitumii bandari, kama tunapeleka DRC, Malawi, Uganda ni wapi bandari itahusika?
 
Hawa Wasengerema wa Malawi wako tayari watu wao wafe njaa ila wasinunue mahindi kutoka Tanzania? Ajabu.

WFP wamesema ni uzushi usio na msingi kwamba mahindi Yana ugonjwa wa lethal ,hivyo wamependekeza importation ya unga badala ya mahindi Ghafi kutoka Tanzania.

Malawi wanakabiliwa na njaa Kali na wanaishia Kwa Msaada wa WFP.

Haka Kamalawi kamekuwa kasenge kama Kunyaland 🤣🤣
Screenshot_20240111-072513.jpg

 
Atokee wapi wakat mpaka wamiliki wa kampuni za bus ni watu kutoka nje ya kenya
😅😅😅😅😅😅😅😅
Unaongelea Tanzania ama? Ama unadhani hatujui mabasi zenu zimemilikiwa na warabu, wachina, wahindi, na wakongo?
 
Childish views
Keep quiet juu hamna such buildings in Uchawiland. Actually all the tall buildings in Dar is slum are half empty, that's why there are no more tall buildings being constructed. Tanzanians are poor by default.
 
Back
Top Bottom