Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So rich Arabs and Chinese with mansions back home wakinunua expensive apartments new York , monaco, London etc ni mafala kama wewe ?
Kwanza hapo kwenu mansions zimezingirwa na uswazi tupu,bila tarmac roads too.
Hapo niliposema magomeni umeona? Sijataja investment?

Alafu hii tabia ya kila kitu mnakitolea mfano wazungu wakati ni mbingu na ardhi ni Ujinga.

Sasa why mchina na muarabu hanunui zenu, si wako rich?
 
Kwa hizo hesabu ndio kusema by June report Dar Port tayari itakuwa na 34 mln tones ambazo wamekuwa wanalingia miaka na mikaka.
Watu mnatakiwa kujua data analysis sio kusoma tu data na kuruka nayo, Kunyaland na Uganda wanaimport vitu vingi ambavyo Tanzania tunazalisha ndani hatuwezi kukimbizana nao kwenye wingi wa mzigo wanaouingiza tu bila kuzingatia wanaingiza nini!

Hivi vyote kwa Tanzania tumejitosheleza lakini Kunyaland wanaimport

View: https://twitter.com/ricetex/status/1712902004434260036?t=mCOP5_Sx8q1Vfy2mRDHGnA&s=19

View: https://twitter.com/IrriHub/status/1195251798531100672?t=zAgZC9C6IhKqig7wGoO4mg&s=19
 
Kama hoja ni importation kubwa ya vyakula ambayo inaibeba Bandari ya Mombasa na sisi Kwa nini tusi export zaidi mazao ya Kilimo ambayo tuna comparative advantage Ili yaibebe bandari ya Dar?

Pili net revenues zinazozalishwa na Bandari za Kenyaland na Tzn zikoje Ili tukinganishe?

Mwisho Tunatakiwa kuhakikisha mizigo ya DRC,Rwanda, Burundi na Tanzania hakuna hata tani 1 inapita Mombasa Kwa sababu sie ndio tuna faida ya kijiografia zaidi na hao majirani.
 
Back
Top Bottom