Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kakojo kalale..ksho uauke ukaitishe kao zako
emoji23.png
emoji23.png
Roho inakuuma baada ya kugundua kwamba mliganganyika kwa kusikia SGR mkajua zote ni sawa, mkapigwa na mchina bei kali kumbe akawajengea old model ya SGR, next time msikurupuke tena, jaribuni kusubiri hadi Tanzania ifanye kwanza ili muweze kujifunza
 
reli mtakayoijenga ni ile ile tu standard gauge kama yetu..hamna tofauti...reli yenye upana wa 1435mm
emoji23.png
emoji23.png
ila nakuelewa tu...elimu shida...pole
emoji23.png
emoji23.png
ama unataka kuniambia yenu inajengwa kwa dhahabu?
emoji23.png
emoji23.png
 
pesa hizo mlizozitoa toka seikali ya Tz zipo wapi?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
leta data hapa basi nione....3B mnatoa wapi nchi LDC?
emoji23.png
emoji23.png
hata kuokota ushuru mmeshindwa pesa mtatoa wapi?
emoji23.png
emoji23.png
Wewe utakuwa na matatizo ya akili, utawezaje kuuliza hilo swali wakati reli imeanza kujengwa, mkandarasi ameshatanguliziwa malipo ya mwanzo na nchi haijapata wala kuchukua mkopo popote, na mwenye nchi anakuambia hizi pesa za ujenzi nimezitoa mfukoni mwangu, wewe unamwambia nipe ushahidi kama hizi peza umezitoa mfukoni mwako, nonsense..
 
matatizo ya akili ni ww tu hapo
emoji23.png
emoji23.png
hamna mwingine...umeshindwa hata kuelewa standad gauge
emoji23.png
emoji23.png
unaanza kutapatapa sijui uwiano...
emoji23.png
emoji23.png
itakua una ugonjwa wa gonorrhea imefika mpaka akilini
emoji23.png
emoji23.png
ama uko karibu kuzaa?
 
Wewe utakuwa na matatizo ya akili, utawezaje kuuliza hilo swali wakati reli imeanza kujengwa, mkandarasi ameshatanguliziwa malipo ya mwanzo na nchi haijapata wala kuchukua mkopo popote, na mwenye nchi anakuambia hizi pesa za ujenzi nimezitoa mfukoni mwangu, wewe unamwambia nipe ushahidi kama hizi peza umezitoa mfukoni mwako, nonsense..
Huyo achana nae taa ya oil inawaka😀😀😀
 
reli mtakayoijenga ni ile ile tu standard gauge kama yetu..hamna tofauti...reli yenye upana wa 1435mm
emoji23.png
emoji23.png
ila nakuelewa tu...elimu shida...pole
emoji23.png
emoji23.png
ama unataka kuniambia yenu inajengwa kwa dhahabu?
emoji23.png
emoji23.png
Yetu itakuwa na
1)Umeme
2)Not jointed hivyo haitakuwa na mtikisiko wala kelele zitokanazo na joints za reli
3)Full automatic control, hivyo haziwezi kugongana
4)High speed
5)High capacity
6)Bullet trains

Hivyo ndivyo vinavyoifanya yetu iwe modern and superior over Kenyan
 
nlishatoka huko
emoji23.png
emoji23.png
ka discuss na nyanyako mambo hayo ili ujiliwaze angalau
emoji23.png
emoji23.png
 
nlishatoka huko
emoji23.png
emoji23.png
ka discuss na nyanyako mambo hayo ili ujiliwaze angalau
emoji23.png
emoji23.png
Najua umeelewa na unajaribu kukimbia, sikuachi nitaendelea kukupa misumari ya moto ili iwe mwanzo na mwisho kuzungumza kuhusu vyuma vyenu chakavu na kuvilinganisha na ultra modern train.ya Bongo..washamba wakubwa ninyi..
 
Hatujakopa sasa 😀😀😀😀 tumetoa cash 3.16b usd for 712km na ujenzi uko moto
Hii mambo na tumelipa cash utaacha

Turkey wins bid to finance, build $1.9b second phase of Tanzania railway
“We sought financing from Turkey. I am confident that we will secure the loan as President Erdogan said that’s a ‘small’ matter to him. We have also received a bid from a Turkish company that is keen on executing the project,” President Magufuli said.

Turkey wins bid to finance, build $1.9b Tanzania's SGR
 
Ndio mkopo anatafuta tena soft loan lakini kaonesha ujasiri mkubwa wakutoa 3.16 billion usd cash kwa 712 km for phase one and two 😀😀😀

Tanzania itakutoa jasho kaka 😛😛😛
Piw hii utasema ni wakenya waliandika

Tanzania’s proposed standard gauge railway risk stalling as the government is still struggling to find donors who can inject $1.2 billion into the project.
A group of legislators warned that the project is at the brink of collapse due to financial deficit unless the national government consider other avenues of acquiring a 15-year low interest railway bond.
Tanzania’s president John Pombe Magufuli has been lobbying heads of states and other countries overseas like Chine to get financial assistance. He recently reached out to South Africa’s president Jacob Zuma to help Dar-Es-Salaam secure a low interest bond from the Brics Development Bank, of which South Africa is a partner.
“I have asked President Jacob Zuma to help us secure a low interest loan from Brics to finance particularly the SGR project,” President Magufuli said.
The project was initiated by the former president Jakaya Kikwete but was suspended by Magufuli when he came to power. Magufuli had suspended a Chinese contractor over alleged irregularities in the tendering process.
President Magufuli had also requested the World Bank President Dr Jim Yong Kim to help in financing the project during his visit to Tanzania in March this year. The world Bank had claimed that the SGR was not viable in the region and had therefore issued $200 million to renovate the old railway line.
Tanzania’s 2561km standard-gauge railway

Tanzania struggles to get bonds to finance standard gauge railway | Africanews
 
This follows the signing of a Sh200 billion ($1.92 billion) deal with the Tanzanian government to undertake the project that includes the replacement of the existing century-old narrow gauge line with a new standard-gauge railway line.
According to the firm’s vice chairman Erdem Arioglu, the deal to build the second phase of the 1,224-km standard gauge railway that will eventually connect Dar es Salaam to Mwanza, is “one of the biggest agreements signed by a single Turkish contractor abroad”.

So hakuna cha "tulitoa pesa cash tena"

But Tanzanians have a funny way of doing things, frankly let me ask, how does one launch a phase II of a project when the 1st phase has not begun yet... Is it sensible?
Kenya's phase 2 was so quiet while it's almost 50% finished by now. Your's was really hyped
 
nlishatoka huko
emoji23.png
emoji23.png
ka discuss na nyanyako mambo hayo ili ujiliwaze angalau
emoji23.png
emoji23.png
Jay456watt leo umewaweza hawa vijana wa tandale mpaka wamejichanganya kusema loan hawajaomba, alafu china ipo tayari... Wakati tunajua vile walinyenyekea Zuma wakiomba hela.
Watu ambao hawana aibu hata kidogo kulinganisha mambo yaliyojengwa tayari inayofanya kazi na yaliyo kwenye vijikaratasi.
 
This follows the signing of a Sh200 billion ($1.92 billion) deal with the Tanzanian government to undertake the project that includes the replacement of the existing century-old narrow gauge line with a new standard-gauge railway line.
According to the firm’s vice chairman Erdem Arioglu, the deal to build the second phase of the 1,224-km standard gauge railway that will eventually connect Dar es Salaam to Mwanza, is “one of the biggest agreements signed by a single Turkish contractor abroad”.

So hakuna cha "tulitoa pesa cash tena"

But Tanzanians have a funny way of doing things, frankly let me ask, how does one launch a phase II of a project when the 1st phase has not begun yet... Is it sensible?
Kenya's phase 2 was so quiet while it's almost 50% finished by now. Your's was really hyped
Hapo ndipo Kenya mnakuwa na matatizo na rest of the world, tatizo lenu ninyi you never think outside the box, mnadhani kitu kikifanyika Kenya basi ni hivyo hivyo tu, mtu akijaribu kufanya tofauti hamuelewi.

Ngoja nikujulishe, ujenzi wa reli ya Kenya na Tanzania ni tofauti sana, Kenya wamepata pesa kutoka source moja tu, exim Bank ya China, ambayo ndiyo iliyochagua contractor toka china, ambaye atajenga reli yote toka mwanzo hadi mwisho, ujenzi wa aina hii unafanywa kwa phases, yaani exim bank inatoa pesa za phase ya kwanza na hawawezi kutoa tena pesa kwa ajili ya phase ya pili hadi ya kwanza imalizike na wakague waridhike, ndiyo watoe pesa kwa ajili ya phase inayofuata, mfumo wa aina hiyo huku kwetu unatumika katika ujenzi wa BRT, ambapo mfadhili ni World Bank na contractor ni Strabarg.

Katika ujenzi wa SGR tunatumia mfumo tofauti na huu wa single financier, single contractor, huku tunatumia multiple financers, multiple contractors, wote wanafanya kazi kwa wakati mmoja, phases hazisubiriani, every phase has its financer and has its own contractor, hope umeelewa
 
No superhighways
No modern port
No world class airport
No SGR...

lakini maneno mengi na kelele kama chiriku....
wengine wanasema ati sijui Morocco square ni mall kama two rivers....

I mean these people are so hard to believe.........wanajua sisi ni majirani ambao wanaeza letea mzaha na utani na tunacheka na wao out of ujirani poa but ukienda thread kama nairaland na nchi kama Tanzania hata kitu cha kuweka mezani hamna.....watanzania tieni bidii muwache aibu ndogo ndogo.......
Mji wa Dar pia outside the cbd kariakoo upanga peninsula ni maajabu isiyoeleweka .Nairobi ina mitaa duni ila zimejificha sehemu ndogondogo ukiwa unatour Nairobi ni ngumu uone hata moja hadi upelekwe humo.....

Kwa kweli Tanzania wamejaribu kutoka usingizini ila wamechelewa kidogo...

And FYI lamu port will be launched in 2020
 
Back
Top Bottom