Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma source hapo chini world bank...hii nayo utajinyoga tu
Kwani hii source ameongea nani tena nimekupa fact ya oct 2017 my friend😀😀😀😀
IMG_0579.jpg
 
Ndio mkopo anatafuta lakini kaonesha ujasiri mkubwa wakutoa 3.16 billion usd cash kwa 712 km for phase one and two 😀😀😀

Tanzania itakutoa jasho kaka 😛😛😛
Huyo mwache haamini. Si unajua nyang'aus wanavyoichukia TZ.
 
hakuna mtu anachukia tz huku ni nyinyi mnaogopa ukweli
Sisi hatukopi ovyo ovyo tunatafuta soft loan kama hakuna tunaachana nayo ndio maana mpaka sasa hvi hatujakopa pesa yoyote kwaajili ya SGR tumetoa cash from our pocket 3.16b usd for 712km😀😀😀
 
hakuna mtu anachukia tz huku ni nyinyi mnaogopa ukweli
Wewe huoni magazeti yenu yanavyofanya propaganda za kuichafua Tanzania. Huo ni ujinga. Kila kitu kikifanyika tanzania mnaweka kwenye magazeti yenu kuwa chenu mpaka mnadanganya UN.
 
Wewe huoni magazeti yenu yanavyofanya propaganda za kuichafua Tanzania. Huo ni ujinga. Kila kitu kikifanyika tanzania mnaweka kwenye magazeti yenu kuwa chenu mpaka mnadanganya UN.
Kipindi tanzania imegundua gas walienda kuwadanganya wazungu kua gas iko kenya wao wakitegemea uwakala sasa wazungu walipokuja kenya kuangalia hio gas wakakuta hakuna, kumbe nia yao wawe agents sasa wakagonga mwamba kwa tanzania 😀😀😀😀
 
Sisi hatukopi ovyo ovyo tunatafuta soft loan kama hakuna tunaachana nayo ndio maana mpaka sasa hvi hatujakopa pesa yoyote kwaajili ya SGR tumetoa cash from our pocket 3.16b usd for 712km😀😀😀
loan kuna limit kama hauna assets za kutosha inabidi utafute soft loan
 
Back
Top Bottom