Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante kwa kufululiza upumbavu....reli ipo na inaendelea kupaa mbele😀😀😀focus on your rail ambayo kwa sasa ni vumbi tupu kule...
Kwa standard ya Kenya mnaweza kuita reli, ila soon utakubaliana na mimi kwamba hiyo sio reli na wala hizo mlizonunua sio trains, kitu mlichonacho ni vituo tu ndivyo vipo katika international standard, huo ndiyo ukweli.
 
lete link. usilete ufala.
ii ni renovation of the old Tazara railway
Mwendawazimu wewe angalia old railway iko pembeni kushoto ya hii SGR
IMG_1089.JPG

IMG_1088.JPG
 
Kwa standard ya Kenya mnaweza kuita reli, ila soon utakubaliana na mimi kwamba hiyo sio reli na wala hizo mlizonunua sio trains, kitu mlichonacho ni vituo tu ndivyo vipo katika international standard, huo ndiyo ukweli.
kalale tu...umeishiwa...reli ya kisasa ni ile tunaita standad gauge...ya kenya ni standard gauge hata ya tz ni hio hio tu...sijui ulisoma kichakani au? haya jifurahishe kidogo mshamba wa Tandale..
00410457:f8fd9cfdb316e26d15de209e51cd75bd:arc614x376:w1200.png
SGR.jpg
1572083_2.jpg

C89TLAtXcAAMyFq.jpg
QsSNDgm.jpg
1571509.jpg

sg1.jpg

SGR-Kenya-11.jpg
C8oJpEnXUAET2ZZ.jpg
SGR-Kenya-3.jpg
Madaraka-Express-Micheal-Khateli.jpg
SGR-fares-768x576.jpg
SGR-Kenya-1.jpg
3zDqSfI.jpg
 
Wanaotaka kutupa loan wako wengi akiwemo mchina ,AFDB , exim bank etc lakin tunaangalia yule mwenye interest ndogo hatuvamii ovyoovyo😀😀😀
Kama nyie mlipigwa na wachina usifkiri na sisi itakua hvo hio sahau
Ulikua unasema mtajenga bila kutumia loan....msee mbona contradiction
 
Wanaotaka kutupa loan wako wengi akiwemo mchina ,AFDB , exim bank etc lakin tunaangalia yule mwenye interest ndogo hatuvamii ovyoovyo😀😀😀
Kama nyie mlipigwa na wachina usifkiri na sisi itakua hvo hio sahau
emoji23.png
emoji23.png
ukweli ni kwamba pesa hazipo..usifikiri reli shillingi mbili ndugu
 
Bado inajengwa budaa yani hapo ndio kama wameanza bado ujenzi unaendelea😀😀😀😀
hio ndio reli ya kisasa sio...sijaona tofauti na ile yetu..kwanza yetu imekaa boa kuliko hii kienyeji kinyeji...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ama hii ni ya dhahabu?
emoji23.png
emoji23.png
 
kalale tu...umeishiwa...rli ya kisasa ni ile tunaita standad gauge...ya kenya ni standad gauge hata ya tz ni hio hio tu...sijui ulisoma kichakani au?haya jifuahsihe kidogo mshamba wa Tandale
C89TLAtXcAAMyFq.jpg

sg1.jpg

SGR-Kenya-11.jpg
C8oJpEnXUAET2ZZ.jpg
SGR-Kenya-3.jpg
Madaraka-Express-Micheal-Khateli.jpg
SGR-fares-768x576.jpg
SGR-Kenya-1.jpg
ityzfmtufalere659d9d473e4e26.jpg
3zDqSfI.jpg
Katika haya maeneo ninaweza kukufundisha hadi upate PhD, neno standard gauge linamaanisha distance toka taruma hadi taruma iwe sawa ili locomotive ziweze kuwiana, ila modernity tunamaanisha mambo tofauti na huo umbali toka taruma hadi taruma, modernity includes;
1)Diesel vs electrical
2)jointed vs continuous
3)Automatic control system vs non automatic
4)High speed vs low speed
5)Modern locomotives and wagons vs old ones(Like Kenya
6)High capacity vs low capacity

Any question?
 
hio ndio reli ya kisasa sio...sijaona tofauti na ile yetu..kwanza yetu imekaa boa kuliko hii kienyeji kinyeji...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ama hii ni ya dhahabu?
emoji23.png
emoji23.png
😀😀😀😀😀 Hata miez 6 haijatimia unatoa povu kias hichi mulifkiri tunatania😛😛😛
 
Katika haya maeneo ninaweza kukufundisha hadi upate PhD, neno standard gauge linamaanisha distance toka taruma hadi taruma iwe sawa ili locomotive ziweze kuwiana, ila modernity tunamaanisha mambo tofauti na huo umbali toka taruma hadi taruma, modernity includes;
1)Diesel vs electrical
2)jointed vs continuous
3)Automatic control system vs non automatic
4)High speed vs low speed
5)Modern locomotives and wagons vs old ones(Like Kenya
6)High capacity vs low capacity

Any question?
🙁🙁🙁 elimu yako ndugu??
emoji23.png
emoji23.png
inatia huruma
standard gauge kaka blaza inamaanisha reli iliyo na length ya 1435mm period...hayo mambo ya sijui reli iwe na uwiano umetoa wapi?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Capture.PNG
 
Back
Top Bottom