Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No superhighways
No modern port
No world class airport
No SGR...

lakini maneno mengi na kelele kama chiriku....
wengine wanasema ati sijui Morocco square ni mall kama two rivers....

I mean these people are so hard to believe.........wanajua sisi ni majirani ambao wanaeza letea mzaha na utani na tunacheka na wao out of ujirani poa but ukienda thread kama nairaland na nchi kama Tanzania hata kitu cha kuweka mezani hamna.....watanzania tieni bidii muwache aibu ndogo ndogo.......
Mji wa Dar pia outside the cbd kariakoo upanga peninsula ni maajabu isiyoeleweka .Nairobi ina mitaa duni ila zimejificha sehemu ndogondogo ukiwa unatour Nairobi ni ngumu uone hata moja hadi upelekwe humo.....

Kwa kweli Tanzania wamejaribu kutoka usingizini ila wamechelewa kidogo...

And FYI lamu port will be launched in 2020
zimefichwa shemu ndogo ndogo how wakat ni among biggest slums in the world😀😀😀😀😀

labda mm nikupe taarifa fupi tu
SGR tunajenga tena modern electric train and second fastest train in africa
bagamoyo port 2020 inaanza kupokea meli huku dar port iko under huge expansion and mtwara port as well
habari ya airport ndio usizungumze kabisa ujenzi wa modern airport in EA umefika over 75%
superhighways zinajengwa ineterchange zingine zihskamilika fly overs ziko kwenye ujenzi yani hakuna kitu utazungumza wewe ukakikosa tanzania😛😛😛😛😛😛😛
 
I like the word iko kwa ujenzi....all of them.. Just tell me one superhighway under construction
 
Haha umekosa link unaanza story zingine
asante kwa kunielewa na kutoa, sasa naomba unitafutie link kua tanzania phase one na two wamekopa pesa sehemu fulani ukiniletea tu biashara itakua imeisha😀😀😀😀😀😀 angalia financed by who????
IMG_1094.JPG
 
ndio maana hua nakwambia hutapata akili hata siku moja 16 lanes unaijua wewe yani ulivo mjinga unahesabu na lanes za kwenda kushoto kushika bara bara nyingine😀😀😀😀😀😀😀kweli wewe ni bogus
Kucount ndio shida ama hesabu lanes hapo useme ngapi..kwanza kuna underpass hapo
 
Back
Top Bottom