NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,083
- 19,317
Your mall is an ugly conglomeration of tiny shops. You can't compare it to two rivers that's a city within a city with all sorts of facilities.lazma mje kufanya merchandise!
Your mall is an ugly conglomeration of tiny shops. You can't compare it to two rivers that's a city within a city with all sorts of facilities.lazma mje kufanya merchandise!
Bado nakazia vituo vya BRT phase 2 upande roofing havijanivutia kbs unaweza sema ni madarasa ya shule za msingi yamehamishiwa barabarani. Haya ni mawazo yangu.Na mm nimepiga mwenyewe kwa sim yangu
Sisi ndiyo wenye shida ya dawa.Kama Cuba wana madawa kweli mbona wasifuate Taratibu kama waingizaji wote wa madawa ikiwemo na kulipa kodi? Changanya na za kwako!
Nimesema sana hapa kuwa hii kampuni ilivunga.Bado nakazia vituo vya BRT phase 2 upande roofing havijanivutia kbs unaweza sema ni madarasa ya shule za msingi yamehamishiwa barabarani. Haya ni mawazo yangu.
Mama yako alisema hao watu ni watu wazima hawatakiwi kufokewa, wanajielewa.. (yeye anaandika kwa kalamu, ndo tunamsubir awe anashika kalamu kwa watumishi wazembe nchi nzima, pale anapowagundua)😁😁😁😁😁 Kimsingi hii Nchi Ina matatizo makubwa kwenye namna ya Kusimamia Watumishi wa ngazi ya kuanzia Mkoani kushuka chini.
Pili hata wanaopatika kwenye nafasi za Uongozi kwenye level za Wakuu wa idara ni shida tupu.Kuna video clip Moja RC Mtandao wa Mara alikutana na kadhia kama hiyo ya magari,Pikipiki na trekta kuharibika baada ya kuhoji akaambiwa eti pesa za Kutengeneza hazipo pesa yenyewe Sasa hata mil.5 haifiki.Akatoa amri wakatafuta pesa na wakatengeneza.
So ukienda mfano Polisi, Halmashauri nk utakuta magari mengi snaa Yako grounded Kwa sababu za kijinga kijinga kama hizo.
Sasa jiulize PM au Rais au Waziri atazunguka Nchi nzima Kwa Ajili ya mambo hayo? Kuna haja ya kubadili namna ya uwajibikaji kuanzia level ya Mkoa Hadi Wilaya Ili watimize wajibu wao vizuri.
Alisema lini na wapi?Mama yako alisema hao watu ni watu wazima hawatakiwi kufokewa, wanajielewa.. (yeye anaandika kwa kalamu, ndo tunamsubir awe anashika kalamu kwa watumishi wazembe nchi nzima) na wamepewa ruhusa kula sawa na urefu wa kamba zao.
Unatapatapa wakat unajua shida ilipo
Unachekesha sana.. so lawama saiz amebebeshwa PM. Yan hata hujui nn nataka kumaanisha.Atafoka Kwa kalamu shida Iko wapi? Yaani pale PM ilikuwa ni kuchukua maamuzi badal ya drama nyingi za kwenye camera.
Aweso Huwa hana drama sana,subiria akienda Lindi utasikia tuu jmaa hana kazi.
Sasa PM huwa anapanda maelezo meengi ,Kila sehemu kwenye shida lazima drama
Apunguzw drama,fuatilia maeneo yake yote mpaka aweke drama ndio achukue hatua au anaacha hivyo hivyo.Unachekesha sana.. so lawama saiz amebebeshwa PM. Yan hujui hata nataka kumaanisha.
Nakutakia (kazi) udalali mwema. Mungu akujalie mkono uingize kitu mdomon
Bora zetu mara 100 angalia hio ya dakar senegal 😅😅😅😅😅😅😅Bado nakazia vituo vya BRT phase 2 upande roofing havijanivutia kbs unaweza sema ni madarasa ya shule za msingi yamehamishiwa barabarani. Haya ni mawazo yangu.
Unajua maana ya kufoka kwa kalamu??🤣🤣Atafoka Kwa kalamu shida Iko wapi? Yaani pale PM ilikuwa ni kuchukua maamuzi badal ya drama nyingi za kwenye camera.
Aweso Huwa hana drama sana,subiria akienda Lindi utasikia tuu jmaa hana kazi.
Sasa PM huwa anapanda maelezo meengi ,Kila sehemu kwenye shida lazima drama
Kutengua, na kazi hii anaifanya sana tuu.Unajua maana ya kufoka kwa kalamu??🤣🤣
The largest in terms of total space area of the buildings and not the plot!Wabongo mnakuanga mafala tu, nani aliwadanganya hio mall ni biggest in East Africa. 😂 😂 😂 😂 Two Rivers Mall, the building alone ni kubwa kuliko the whole compound ya hio EACLC. Na usisahau two rivers ikona more floors than hio mall yenu ya only two floors.
View attachment 2865823
View attachment 2865824