Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila hili libashe hili hiiiiiiiii ni hatariiiiiiiii, ogopaaaaaa, weweeeeeeee 🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20240109-102224.jpg
Screenshot_20240109-102239.jpg
Screenshot_20240109-102257.jpg
 
Ila hili libashe hili hiiiiiiiii ni hatariiiiiiiii, ogopaaaaaa, weweeeeeeee 🤣🤣🤣🤣

View attachment 2865981View attachment 2865983View attachment 2865984
Bashe amefanyaje? Hii si ndio michezo mlikuwa mna entertain awamu yenu? Leo inakuaje ni mbaya?

Kama alivyosema Bashe michezo hii ipo sana Kwa Kenya,Zambia na Malawi Huwa wanafanya mara Kwa mara.

Mwisho Serikali itatafute soko Nje ya Nchi hasa Ethiopia na S.Sudan/Sudan tuache kutegemea majirani pekee.Hao Malawi watu wao Wana suffer ila wao wamekaza.
 
Nategenea ndugu Kivevele akemee hii tit for tat maana alikuwa bingwa wa Kutetea kipindi cha JPM ati alikuwa anadai hayupo sawa kufanya tit for tat. 😂😂😂
Saivi hata mama akifanya tit for tat analalamika kachelewa kuifanya 😂😂😂 yaani mtu akikuchukia tu kisa unavyeti fake na poor performance basi inakua ndio nongwa nchi ngumu sana hii dadeq
 
Saivi hata mama akifanya tit for tat analalamika kachelewa kuifanya 😂😂😂 yaani mtu akikuchukia tu kisa unavyeti fake na poor performance basi inakua ndio nongwa nchi ngumu sana hii dadeq
Ukitaka kujua ni chuki na nchi yake, yeye alikuwa anaponda kila kitu cha Tanzania hadi kwenye huu uzi alikuwa upande wa jirani.
Yaani mtu akufanye uchukie nchi yako, utakuwa na ufinyu wa akili.
Hii miradi yote mikubwa alikuwa anaziponda zote ati hazina faida kiuchumi lakini sasa hivi ni bingwa wa kuzisifia zote. 😂😂😂
 
Bashe amefanyaje? Hii si ndio michezo mlikuwa mna entertain awamu yenu? Leo inakuaje ni mbaya?

Kama alivyosema Bashe michezo hii ipo sana Kwa Kenya,Zambia na Malawi Huwa wanafanya mara Kwa mara.

Mwisho Serikali itatafute soko Nje ya Nchi hasa Ethiopia na S.Sudan/Sudan tuache kutegemea majirani pekee.Hao Malawi watu wao Wana suffer ila wao wamekaza.
On top of that hiyo ilikuja baada ya serikali Kuzuia mbegu kutoka Malawi.

Ndio maana mara nyingi nasema ni Bora soko liamue badala ya kuweka vizuizi vya biashara Kwa sababu ukifanya hivyo nao watajibu.

Malawi amekuwa muuzaji mkubwa wa mbegu Tzn ila msimu huu Serikali ilizuia mbegu zao ,then ulitegemea wawachekee?

View: https://www.instagram.com/p/C1MFgPDIV2h/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
umeona enhee Wazii mkuu anabweka tuu bila maarifa...!!!
Ndio maana nimeikataa hiyo tabia ,huyo PM ana hiyo tabia ya drama harafu anawaacha hivyo hivyo Sasa sijui Huwa anafikiriaga nini hasa.

Mwisho drama Kwa Rais hazifai, Mwendazake amewahi kuaibishwa mara 3 hivi kwenye hizo drama akaishia kujiapiza Kwa hasira.Kuna DED aliwahi mjibu Jiwe kwamba yeye hawezi kuwepo Kila mahala kujua Kila kitu,Jiwe Kwa kuwa hakutegemea Hilo jibu akaishia kukugumia na kusema unanijibu Mimi hivyo 😂😂

Mtu hata akifanya makosa mueleze chukua hatua,ukianza Kuvunja utu wake kisa makosa ya kazi hapana lazima ajihami na tuna ujasiri wa tofauti sio wote watanyamaza kimya.
 
Ukitaka kujua ni chuki na nchi yake, yeye alikuwa anaponda kila kitu cha Tanzania hadi kwenye huu uzi alikuwa upande wa jirani.
Yaani mtu akufanye uchukie nchi yako, utakuwa na ufinyu wa akili.
Hii miradi yote mikubwa alikuwa anaziponda zote ati hazina faida kiuchumi lakini sasa hivi ni bingwa wa kuzisifia zote. 😂😂😂
Walipinga mpaka JNHPP kisa reservoir yake eti litafanya miti mingi ikatwe na hatimae pawe jangwa mazingira yaharibike, hivi em tumuulizeni leo yeye Pamoja na kipara na nape, hapa ni jangwa? 🤣🤣🤣

20230602_034930.jpg
 
Back
Top Bottom