Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hakuna mall kubwa na nzuri kuliko hiyo, Africa mashariki nzima. 🤣🤣What an ugly mall.
Hakuna mall kubwa na nzuri kuliko hiyo, Africa mashariki nzima. 🤣🤣What an ugly mall.
Kumbe Tanzania sio Rafiki wa Russia ila tunajipendekeza tuu.
Marafiki wanayembeleana refer Kamala in Tanzania na Putin due in Burundi
View: https://www.instagram.com/p/C1xCZ0aqUIf/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kama Cuba wana madawa kweli mbona wasifuate Taratibu kama waingizaji wote wa madawa ikiwemo na kulipa kodi? Changanya na za kwako!Unasifia sana kazi nzuri ya mama, je, unamaoni gani kuhusu serikali kuacha kuchangamkia dawa za Cuba kwenye hospitali zake, mpaka watu wanaambiwa waende hospitali ya Kairuki? Ni kweli serikali ya mama inawapenda wananchi wake wanasoubuliwa na magojwa kama ya ini, kansa au kisurkari? Cuba wanazo dawa...
lazma mje kufanya merchandise!What an ugly mall.
😁😁😁😁😁 Kimsingi hii Nchi Ina matatizo makubwa kwenye namna ya Kusimamia Watumishi wa ngazi ya kuanzia Mkoani kushuka chini.Nina uhakika hizi pikipiki haziwaki!
Wabongo mnakuanga mafala tu, nani aliwadanganya hio mall ni biggest in East Africa. 😂 😂 😂 😂 Two Rivers Mall, the building alone ni kubwa kuliko the whole compound ya hio EACLC. Na usisahau two rivers ikona more floors than hio mall yenu ya only two floors.Mchongo ndio hivyo tena, East Africa commercial and logistics center render 👇View attachment 2865656progress 👇View attachment 2865658View attachment 2865660View attachment 2865662. We mbwa Nicxie Kimbg njoeni huku mjifunze the biggest shopping mall in East Africa vile inakaa
You claim it is 75,000 sq.m. BBS mall is 130,000 sq.m. so how's it the largest?Hakuna mall kubwa na nzuri kuliko hiyo, Africa mashariki nzima. 🤣🤣