Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,899
- 103,769
leta evidence!Punguza ubishi pumbu wewe sio Kila mmoja mwanasiasa hapa tembea hata kidogo uone miji unayoongelea sio kuongeza kitu ambacho ukijui k wewe
leta evidence!Punguza ubishi pumbu wewe sio Kila mmoja mwanasiasa hapa tembea hata kidogo uone miji unayoongelea sio kuongeza kitu ambacho ukijui k wewe
Ukipita usiku zikiwa zimewasha taa ndio utaona vizuri hiyo foleni, 😎 Ngoja na mimi nikale mihogo 😂Tuliambiwa hizi meli zinareroute to Mombasa sababu ya congestion Dar port, sasa mbona haziishi? 😁
View attachment 2865296
Naona unapata mihogo na mishkaki ya paka....Tuliambiwa hizi meli zinareroute to Mombasa sababu ya congestion Dar port, sasa mbona haziishi? 😁
View attachment 2865296
Hiyo mihogo nimepata njaa ghafla. 😂😂😂Tuliambiwa hizi meli zinareroute to Mombasa sababu ya congestion Dar port, sasa mbona haziishi? 😁
View attachment 2865296
Mwambieni yule Balozi wenu afuate utaratibu.Unasifia sana kazi nzuri ya mama, je, unamaoni gani kuhusu serikali kuacha kuchangamkia dawa za Cuba kwenye hospitali zake, mpaka watu wanaambiwa waende hospitali ya Kairuki? Ni kweli serikali ya mama inawapenda wananchi wake wanasubuliwa na magojwa kama ya ini, kansa au kisurkari? Cuba wanazo dawa...
Wetu tena, kwani sisi ndo tuliompa huo ubalozi? Unaongelea utaratibu upi ambao haukufuatwa?Mwambieni yule Balozi wenu afuate utaratibu.
Hata hivyo tuna wanafunzi Wetu Cuba huko wapate utaalamu waje kujenga Tanzania
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1744120705669632414?t=W-J9bEHESG9hhYdniQq-dw&s=19
Bara tuna fukwe nzuri kuanzia Mtwara Hadi Tanga Kwa nini hatuziendelezi?
Baada ya Kutandikwa kisawasawa. Alafu tuliza hilo komwe tupo tunapanga makasha ya TB drugs, tunasubiria Graphics designer amalizie logo ya TANZANAIDthis page is just a clown show circus from tanganyikans.....extremely laughable arguments.
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1744120705669632414?t=W-J9bEHESG9hhYdniQq-dw&s=19
Bara tuna fukwe nzuri kuanzia Mtwara Hadi Tanga Kwa nini hatuziendelezi?