Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uliedit post yako? Ulisema Zanzibar tunaitegemea kwa watalii kisa ina miruko mingi ya ndege lakini hukujua Bara inaongoza kwa idadi kubwa ya watalii na watalii wengi wanaoingia Zanzibar wanaenda Bara kwaajili ya safari, kiwanja cha ndege cha Arusha kinahudumia miruko mingi ya Zanzibar to Seronera via Arusha, pia Nyerere NP inapokea flights nyingi zaidi kutoka Zanzibar hii yote inafanya mtalii aspend a lot kwenye hizo movements Tanzania inajikuta imeingiza pesa zaidi ya mara 5 kwa mgeni mmoja

View attachment 2865428
Aisee kumbe ule uwanja wa ndege Mpya unaojengwa Nyerere NP itakuza sana Utalii.

Nimeona viwanja 4 ndani ya Hifadhi

Ruaha 2
Nyarere 1
Mikumi 1
 
Aisee kumbe ule uwanja wa ndege Mpya unaojengwa Nyerere NP itakuza sana Utalii.

Nimeona viwanja 4 ndani ya Hifadhi

Ruaha 2
Nyarere 1
Mikumi 1
REGROW ina lengo la kudecongest tourism iliolemea northern circuit na ulidizainiwa kipindi cha usiempenda, yeah utarahisisha usafiri wa watalii kutoka Zanzibar kwenda Southern circuit
Screenshot_20240108-151008.jpg
Screenshot_20240108-151047.jpg
 
REGROW ina lengo la kudecongest tourism iliolemea northern circuit na ulidizainiwa kipindi cha usiempenda, yeah utarahisisha usafiri wa watalii kutoka Zanzibar kwenda Southern circuit View attachment 2865455View attachment 2865456
Shukuruni Samia alishika kiti,hakuna hata mia wangetoa kama walivyoshikilia Toka 2017 miaka 7.

Mwisho ni ujinga kusema eti tumezidiwa wakati Iko wazi miundombinu ya Utalii ilikuwa concentrated Kaskazini miaka na miaka.

Hadi Leo hii hakuna Dalili za kujenga Barabara ya Iringa-Ruaha NP ni porojo tuu wakati tuna maeneo ya Utalii Kila sehemu ila wamekomaa na Kaskazini tuu.

Just imagine baada ya Zambezi waterfall Kuna Kalambo water fall ya pili kwa.ukubwa Afrika na Iko visible vizuri zaidi upande wa Tanzania lakini hakuna Cha maana Serikali inafanya japo kujenga lami km 16 tuu kufikia maporomoko.Hovyo kabisa.
 
WB wana utaratibu wao tofauti sana wa kutoa pesa, pesa ilishakua approved tayari there's no way ingetoka tu sio kwamba Samia ndio kafanya itoke, daraja la msimbazi na project shikizi pale ilishakua approved toka awamu ya 5, mbona mpaka leo mradi haujaanza ina maana hawamuoni Samia?
 
Mradi unaanza mwezi wa 5,harafu hao Wana approve mada ngapi ngapi? Mbona ni juzi tuu hapo taarifa za approval ndio zimetoka kuhusu huo mradi wa Daraja la WB?

Wasingetoa wewe elewa hivyo,nani akupe pesa huku umejiyoa kwenye mfumo wa openness na umepitisha masheria ya kindezi ndezi?

Miradi yote ,pesa zote ambazo zilikwama this time zimeanza kutolewa ikiwemo MCCL.
 
this page is just a clown show circus from tanganyikans.....extremely laughable arguments.
Nani kakulazimisha uwepo humu? ondoka kwenye hii page ya kitanzania, hatutaki Wakenya humu, tunataka tubaki pekeetu tupeane vitasa kwasabu sisi watanzania ndiyo viumbe vyenye akili kuliko wote huu ukanda wa wapumbavu.
 
Hiyo mishkaki uwa naila sana na familia ila hii coment imefanya nisiile tena hata kama sio ya paka 😀
Hamna bhn alikuwa anatania tu, Tanzania sio Kenya kwenye uhaba wa ng'ombe mpaka wanakula nyama ya Punda, Tanzania kuna ng'ombe na mbuzi wengi mno, alafu pia watanzania ni waaminifu sana, lakini pia gharama ya kuandaa mshikaki wa paka ni kubwa kuliko kuandaa mshikaki wa ng'ombe, ni kichaa gani atafanya biashara hiyo labda awe mchawi, so ondoa shaka mzee.
 
Yote ni kweli ila kama kimeniingia kinyaa flan hivi,ha ha haa
 
Back
Top Bottom