Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Dodoma na Arusha wafikirie kuwa na mwendokasi(BRT) ya umeme kama Senegal
View: https://www.instagram.com/p/C1wMZfBNqjx/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Bamjomba ni kiasi cha kununua bus za umeme tu hata Tukiamua sasa kubadlisha magari yetu yote ya BRT na kuya'replace na magari ya umeme inawezekana