Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moja ya sifa kubwa sana ya wakenya ni ujinga. Ujinga ukikomaa huitwa upumbavu. Biblia inasema mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu pamoja na ngano, upumbavu wake hamtoki.
nimkwambia let picha ya kilomita moja...mbona unatapa tapa? kisha mpumbavu ni ww hapo...kulia lia eti SGR kumbe mpo bado ndio mnatafta routes...😀😀😀
 
Kwani nyie mulijenga kwa miez miwili😀😀😀😀
Tuliza kipapa watu wanajenga usiku na mchana
Hakuan kulala hio
View attachment 636661
hapana tulitumia tu muda ila vile mmekua mkiimba imba hapa na kujigamba ungedhani reli ya stima kashatimia kilomita 100 kumbe hata 1cm bado...😛😛😀😀😀 bado mnajikuna kuna tu matako...reli haipo...waturuki wanapambana na vumbi kule...🙁🙁
 
hapana tulitumia muda ila vil mmekua mkiimba imba hapa ungdhani reli ya stima kashatimia kilomita 100 kumbe hata 1cm bado...😛😛😀😀😀
Mmetumia miaka 3 na nusu sasa sisi hatuna hata miez 6 unaanza kilio😀😀😀😀😀
Alaf contractor kapewa kazi mbili design and build
 
Kwani nyie mulijenga kwa miez miwili😀😀😀😀
Tuliza kipapa watu wanajenga usiku na mchana
Hakuan kulala hio
View attachment 636661
Pwahahaha
nimekwambia nioneshe hii tu..just this...😀😀😛😛
15830064-The-new-railway-turnout-the-new-railway-line-under-construction-Stock-Photo.jpg
 
nimkwambia let picha ya kilomita moja...mbona unatapa tapa? kisha mpumbavu ni ww hapo...kulia lia eti SGR kumbe mpo bado ndio mnatafta routes...😀😀😀
reli haijengwi kama kutengeneza chang'aa.
inatengenezwa kwa miezi 36. Sasa hivi ni kuweka tuta. Kumbuka reli hii ni the best. Kwahiyo lazima iwe imara zaidi. Muda ukifika wa kutandaa mataluma ya reli tutakuwekea picha. Sasa hivi tuliza mchecheto.
 
Mmetumia miaka 3 na nusu sasa sisi hatuna hata miez 6 unaanza kilio😀😀😀😀😀
Alaf contractor kapewa kazi mbili design and build
yaani mnajikuna tu matako...kumbe reli haipo...😀😀😀reli ya Kenya kashasafirisha abiria elfu mia nne na zaidi in 472 km...mi nataka tu 1cm...just 1 cm..yaani hata make*** yangu ndefu kuliko reli yenu...😀😀😀😛😛
 
reli haijengwi kama kutengeneza chang'aa.
inatengenezwa kwa miezi 36. Sasa hivi ni kuweka tuta. Kumbuka reli hii ni the best. Kwahiyo lazima iwe imara zaidi. Muda ukifika wa kutandaa mataluma ya reli tutakuwekea picha. Sasa hivi tuliza mchecheto.
Pwahahahaha...reli Kenya tushajenga...Ethiopia wana reli...Angola wana reli...Nigeria wana reli...stop these stupid excuses...umeskia reli ni maajabu??😀😀 reli zipo ila sio tanzania...
 
yaani mnajikuna tu matako...kumbe reli haipo...😀😀😀reli ya Kenya kashasafirisha abiria elfu mia nne na zaidi in 472 km...mi nataka tu 1cm...just 1 cm..yaani hata make*** yangu ndefu kuliko reli yenu...😀😀😀😛😛
Yaomesha wivu umekukamata kisawasawa😛😛😛
 
Pwahahaha
nimekwambia nioneshe hii tu..just this...😀😀😛😛
15830064-The-new-railway-turnout-the-new-railway-line-under-construction-Stock-Photo.jpg
DSC_5815.JPG

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka,akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Rwanda, Rwakunda Christian,wakati walipotembelea ujenzi wa reli mpya ya kisasa, iliyoanza kujengwa Mkoani Pwani, katika eneo la Soga.

DSC_5830.JPG

DSC_5841.JPG
 
Pwahahahaha...reli Kenya tushajenga...Ethiopia wana reli...Angola wana reli...Nigeria wana reli...stop these stupid excuses...umeskia reli ni maajabu??😀😀 reli zipo ila sio tanzania...
Acha kujidhalilisha Kenya haijajenga reli imetandaza mataruma na vyuma chakavu juu ya tuta, kweli katika reli za kisasa ile ya Kenya na Nigeria utazitaja?, ninyi hamna reli usituchefue humu jamvini
 
yaani mnajikuna tu matako...kumbe reli haipo...😀😀😀reli ya Kenya kashasafirisha abiria elfu mia nne na zaidi in 472 km...mi nataka tu 1cm...just 1 cm..yaani hata make*** yangu ndefu kuliko reli yenu...😀😀😀😛😛
hao ni abiria pekee. so far so good.

in approximately 1months time (next year, Jan) itaanza kubeba Cargo. hapo ndio pesa iko
 
Pwahahahaha...reli Kenya tushajenga...Ethiopia wana reli...Angola wana reli...Nigeria wana reli...stop these stupid excuses...umeskia reli ni maajabu??😀😀 reli zipo ila sio tanzania...
Mumejenga reli au mumerudisha gari moshi kwenye ubora wake😀😀
 
Yaomesha wivu umekukamata kisawasawa😛😛😛
yaani kumbe wivu siku hizi inawapata walio na reli na sio wale wanaopambana na vumbi wakitafta routes....maajabu haya!😀😀😀nimekwambia make*** yangu ndefu kuliko reli yenu...
 
hao ni abiria pekee. so far so good.

in approximately 1months time (next year, Jan) itaanza kubeba Cargo. hapo ndio pesa iko
yap cargo starts January...by the time they are finishing their SGR, we would have completely sucked Uganda dry with this cargo money mpaka tukachoka...
 
Acha kujidhalilisha Kenya haijajenga reli imetandaza mataruma na vyuma chakavu juu ya tuta, kweli katika reli za kisasa ile ya Kenya na Nigeria utazitaja?, ninyi hamna reli usituchefue humu jamvini
asante kwa kufululiza upumbavu....reli ipo na inaendelea kupaa mbele😀😀😀focus on your rail ambayo kwa sasa ni vumbi tupu kule...
 
Back
Top Bottom