Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

btw.. can we see a PICTURE of the much talked about/ hyped up Tz SGR.
we need to see progress,
 
Tz kuna warembo kweli...
DMC-EEIXUAAv-tC.jpeg
 
btw.. can we see a PICTURE of the much talked about/ hyped up Tz SGR.
we need to see progress,
Chakushangaza yenu mulijenga 3 and a half years lakin hukuskia mbongo anakuuliza kuhusu SGR yenu chakustaajabisha hatuna hata miezi 6 toka tumeanza ujenzi lakini jasho zinawatoka😀😀😀
IMG_1086.JPG
 
leteni picha za ujenzi...sio kila uchao kutuimbia SGr SGr kumbe hata 1km bado
 
leteni picha za ujenzi...sio kila uchao kutuimbia SGr SGr kumbe hata 1km bado
Moja ya sifa kubwa sana ya wakenya ni ujinga. Ujinga ukikomaa huitwa upumbavu. Biblia inasema mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu pamoja na ngano, upumbavu wake hamtoki.
 
kwa wale wanaolia lia kisa treni zetu...zitazame hizi hapa electric za Ethiopia😀😀
tn_et-locos-mot.jpg
 
Back
Top Bottom