Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ofcz wingi wao ilibidi tuufurahie mana ni soko hilo, lkn serikali ya CCM inawadekeza wangese hawa ndiyo mana nasema wanatakiwa kupungua kivyovyote vile, angalia serikali ya CCM inavyowadekeza inawapelekea coal badala ya cement ndiyo mana nasema inatakiwa wapungue wanatupa shida parasite hawa.
 
Mzee tupo na data zinazoonesha mlivyo hovyo thou still half-baked lakini bado ni za hovyo, kitengo chenu cha fakery and forgery kinahitaji revamping program ASAP

View attachment 2862832
Tupo hovyo wakati mpo kwenye list ya Kenya's leading export destinations wakati nyinyi hampo kwenye list ya Kenya's top import countries. Sasa jiulize nani ako hovyo kati yenu nasi
 
Data ndio hua dawa ya hawa mafala. 😀😂
And because they can't do anything about it or counterattack it, they end up consoling themselves by saying ni data za kupikwa. Hawa vilaza never cease to amaze!!
 
Kenya mnajiharishia tuu hakuna kitu Cha maana mnafanya 🤪🤪
Hakuna kitu Cha maana tunafanya wakati hadi kufikia sasa mnatumia cables zilizotengenzwa Kenya

Chukua hiyo $400 tulio export kwenu nenda kaiconvert kwenye madafu yenu then utajua kwanini mlituogopa kutuweka kwenye rank 😂😂😂

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1579349232154447872?t=Am-QVEeT_3nYH0KsTweeyQ&s=19

Bongolala, don't be blinded by stupid patriotism. You exported goods worth $397m to Kenya in 2021 yet you imported goods worth $410m from kenya the same year. So if I may ask, in whose favor is this balance of trade?

Kumbe we are just engaging dimwits here!!! Didn't know that
 
Hivi katika products and services tunazoexport Kunyaland na hii commodity ipo? 😂😂😂 Sababu naona kama tunawafilisi bila official documentation, tena hii ni nzuri sababu huduma wanaifata hatuwapelekei

IMG_20231231_135535.jpg
 
Bongolala, don't be blinded by stupid patriotism. You exported goods worth $397m to Kenya in 2021 yet you imported goods worth $410m from kenya the same year. So if I may ask, in whose favor is this balance of trade?

Kumbe we are just engaging dimwits here!!! Didn't know that
Usineletee kisirani, umeconvert hizo dollar? Weka hapa kwenye hii rank au ukalale, actually mnaimport more from Tanzania than from the UK, eat that

graphic.jpg
 
Usineletee kisirani, umeconvert hizo dollar? Weka hapa kwenye hii rank au ukalale, actually mnaimport more from Tanzania than from the UK, eat that

View attachment 2862871
Kisirani ni wewe kilaza wa Tandale. Even if I do the conversion, it still beats you by far.

If the figures in dollars inazidi yenu ya dollars so what makes you think the conversation will make any difference? Wewe ni dwanzi sana by the way!!
 
Back
Top Bottom