Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Dstv awatoonyesha afconWew dogo.. akili zako ni hafifu sana, sijui unaishije na hizo akili.
Wanaweza kuangalia AFCON kwa TBC kupitia DSTv
View attachment 2861406
Dstv awatoonyesha afconWew dogo.. akili zako ni hafifu sana, sijui unaishije na hizo akili.
Wanaweza kuangalia AFCON kwa TBC kupitia DSTv
View attachment 2861406
Wataonyesha kupitia TBC1Dstv awatoonyesha afcon
haka kajamaa eti kanataka kubishana na mim kweny mambo ya mpira.🤣 kanachekesha sana..Wewe mbuzi,Hawa tbc hawatarusha mechi zote kama Azam.Supersport Wana Haki ya premier ila Kuna Baadhi ya mechi zinarushws Hadi na Azam.Ndicho kitafanyika hata huko Afcon.
Rights za mechi zote ni Azam ila hao wengine watanunua Baadhi ya mechi tuu.
Wewe Babu una chuki Kwa Samia Hadi matraakon mwako.
Wanafosi tufanane 😂Hata muonekano wa wakenya wa humu ni kama Gachagua na Ruto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
So azam tv inahusiana nn na samia?? Au kilichozungumziwa ni samia, unakua ndevu tu akili zinabakia kwenye kishundu??😅😅😅Wewe mbuzi,Hawa tbc hawatarusha mechi zote kama Azam.Supersport Wana Haki ya premier ila Kuna Baadhi ya mechi zinarushws Hadi na Azam.Ndicho kitafanyika hata huko Afcon.
Rights za mechi zote ni Azam ila hao wengine watanunua Baadhi ya mechi tuu.
Wewe Babu una chuki Kwa Samia Hadi matraakon mwako.
Kazi iendeleeSo azam tv inahusiana nn na samia?? Au kilichozungumziwa ni samia, unakua ndevu tu akili zinabakia kwenye kishundu??😅😅😅
DSTV sio kampuni ndogo unavoifkiria ww, yes azam anafanya vzr hatukatai lakini kufikia DSTV alipo sio leo wala kesho,
weh....hehehe
Ana furahisha sana na ujinga wake.So azam tv inahusiana nn na samia?? Au kilichozungumziwa ni samia, unakua ndevu tu akili zinabakia kwenye kishundu??😅😅😅
DSTV sio kampuni ndogo unavoifkiria ww, yes azam anafanya vzr hatukatai lakini kufikia DSTV alipo sio leo wala kesho,
Kila kitu kinaenda Kwa utaratibuKila siku anajamilisha majadiriano?
🤣🤣🤣🤣🤣 kweli mfa akiamua kukata roho hua lazma arusherushe miguu na mikono