Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa magari tulishamaliza nao mjadala tanzania ndio transit hub ya magari kwa sasa hata wao hawabishi 😁😁😁😁😁

Imagine zimbabwe nae anapitisha gari kwa wingi tanzania achilia mbali nchi za karibu kama zambia, malawi,rwanda, burundi and uganda etc
Nimepita mjini x huko kunyan wanalalamika page hii halafu mtu huyo huyo unamkuta page nyingine anajipa moyo dar port hamna traffic jam,viongozi wetu wangeona jinsi wakundustan wanavyoumia kuhusu hii ya bandari,wangeamua hata kupunguza parking fee na mikodi ya ajabu ajabu pale bandarini
 
BTW hapa sio China ni Mikocheni Dar es salaam.

IMG_3294.jpeg


IMG_3295.jpeg
 
Back
Top Bottom