Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Huyo ni limbukeni alikuwa jobless kwa miaka yote yupo humu jf kuanzia asubuhi mpaka usiku now amepata kibarua hatupumui.Hahaha 🤣 🤣 🤣 Contract without Stamp. Where is your salary slip?
kapata kibarua now na keshapost contract, huyo ni mkenya original kabisa tena yule wa zamani kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo ndo alipost pesa za kudownload na kusema ni zake na bado unapoteza muda kubishana nae! 😂😂😂
Mimi sio jobless like most Tanzanians here. At least wewe ni watchman hata kama unalipwa 7,000 Kenyan shillings umeshinda most jobless tanzanians here.Huyo ni limbukeni alikuwa jobless kwa miaka yote yupo humu jf kuanzia asubuhi mpaka usiku now amepata kibarua hatupumui.
Ipake mafuta isipauke 😅😅😅😅Mji huu ndo wakuanza kujengwa hivi unepauka!?
Hapa kazi tuu or kazi iendelee ni the same thing, kwenye maelezo amemtaja nani?Teargas, umesikia? Meli zinazosuribi zinangojea mzigo wa shaba kutoka Congo.
ChoiceVariable mkurugenzi amejisahau anasema "hapa kazi tuu".
Ila hii nayo ni ktu ya kupost humu..😅Buy Kenya Build Kenya.
Body by Identity, new kid in the body building industry.
View attachment 2859600View attachment 2859601
Tatizo hawa wenye meli wanafikiri East Afrika Trade Center ya pale Ubungo ishafunguliwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣