Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas 2022 dar port imehudumia zaidi ya 21.4 tons

Naomba upitie hii video umsikilize mkuregenzi wa bandari 😅😅😅😅😅😅

Sasa subiri data za 2023 uone balaa lake najua hutofurahi maisha yako yote
Kaka uwingi huu wa trucks za congo,zambia,malawi,rwanda bado trucks za TZ,hapo bado gari IT nilikua nashangaa sana kudai eti kundustan port inapokea meli nyingi kuliko dar port!ukikaa pale kibamba kwa siku trucks zaidi ya mia na kitu zinapita,hizo IT ndio kama takataka
 
Kwa magari tulishamaliza nao mjadala tanzania ndio transit hub ya magari kwa sasa hata wao hawabishi 😁😁😁😁😁

Imagine zimbabwe nae anapitisha gari kwa wingi tanzania achilia mbali nchi za karibu kama zambia, malawi,rwanda, burundi and uganda etc
 
🤣🤣🤣🤣 Jamaa unapata maumivu mno. Feel sorry for you dear sister
Hii habari imeshtua sana yani imewakosesha usingizi kabisa na katika ile figure ya mombasa port, ujue tayari fugure zilishapikwa hio ndio kazi wanaweza 😁😁

Na wangekua hawapiki figures wasingeshtuka kama walivoshtuka 😅😅😅
 
Traffic jam in a port is significance of inefficiency. How can one ship wait for 16 days to be offloaded?
Hvo ndivo wanasiasa wenu walivowadanganya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yani mumedanganywa ni 16 days na wanasiasa wenu ili mupoe lakini mkurugenzi wa bandar anasema ni siku moja na nusu wanafanya kazi 24 hours 👇👇👇👇👇👇👇

View: https://youtu.be/nastw08-yHs?si=fxTFDP-j2he0y6ew
 
Back
Top Bottom