Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As long as they are loans and donations I don't care. Your annual revenue alone isn't even $15B.
Bado hujasema, mpaka useme 👇👇🤣🤣
IMG_3109.jpeg
 
View attachment 2858522View attachment 2858525
Kunyan zingatia na tarehe kwa picha zote 2,baada ya hapo uingie ndani kwenye kibanda chako cha mabati hapo kibera ukalie vizuri,TZ this time atucheki na kima na hata hii jam bado kabisa,hatutaki nchi yoyote ya central corridor inapitisha hata kiberiti kimoja kwenye bandari ya kunyaland na soon sgr ikifika mwanza tu uganda nayo tunaibeba 100% port mwanza to port bell
mbona mnaendelea kumpiga nyundo za kichwa, mwenzenu anajifariji ili apate kulala lakini nyie hamtaki hata ajifariji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We mbwa koko njoo hapa uone facts 🤣🤣🤣 soma number hizo ships in port Dar 52 ships vs Mombasa 30 ships. Zingatia tarehe DAR👇
Screenshot_20231231-164930_1.jpg
Mombasa 👇
Screenshot_20231231-164743_1.jpg
mwenzako alivyolalamika hakua mjinga.. ground ndio inaeleza hivyo. Wewe mpumbavu ulidai ni meli 20. Kumbe ulikua Hujui kusoma taarifa huku kwenye vessels finder. 🤣🤣🤣 Huku mjomba kila graph unaambiwa kabisa mwisho kujua taarifa ni less than 20. And more info is for satellite or premium users. 🤣🤣🤣🤣
 
We mbwa koko njoo hapa uone facts 🤣🤣🤣 soma number hizo ships in port Dar 52 ships vs Mombasa 30 ships. Zingatia tarehe DAR👇View attachment 2858587Mombasa 👇View attachment 2858589 mwenzako alivyolalamika hakua mjinga.. ground ndio inaeleza hivyo. Wewe mpumbavu ulidai ni meli 20. Kumbe ulikua Hujui kusoma taarifa huku kwenye vessels finder. 🤣🤣🤣 Huku mjomba kila graph unaambiwa kabisa mwisho kujua taarifa ni less than 20. And more info is for satellite or premium users. 🤣🤣🤣🤣
Wakenya miaka hii mtageuza sana lugha na kupika data ili muonekane na dunia mpo juu ya Tanzania lakini Ukweli utaonekana tu Giant anachukua nafasi yake
 
Umem..to..mb.. harudi tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakenya miaka hii mtageuza sana lugha na kupika data ili muonekane na dunia mpo juu ya Tanzania lakini Ukweli utaonekana tu Giant anachukua nafasi yake
Sehemu pekee walikuwa wanajifariji ni kwenye bandari, nako huko tushawapiga, wakati Magufuli anaipanua Dar port hakuwa mjinga, alikuwa anajua ni kitu gn anafanya, yule mzee Mwenyezi amuweke panapo stahili, hakuna mradi hata mmoja aliofanya usiwe na impact.
 
Watanzania wenzangu haya maendeleo tunayozidi kupiga kila siku yatawagharimu sana wakenya, watakuwa na maisha magumu sn mana kumbuka 70% ya GDP yao ni uzembe wa viongozi wa Tanzania, mana nchi yetu imekaa kimkakati, kama Tanzania ikiwa vzr katika kila sector hakuna kichaa atatumia infrastructure au bidhaa za Kenya coz ni wezi na hawaaminiki.
 
Back
Top Bottom