Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How the Expansion of Mombasa Malindi Road will transform lives​


View: https://www.youtube.com/watch?v=cRP-CeMw-BI

Hii barabara inayo jengwa iko na 4 overpass na 1 viaduct...
1704058870587.png
 
Watanzania wenzangu haya maendeleo tunayozidi kupiga kila siku yatawagharimu sana wakenya, watakuwa na maisha magumu sn mana kumbuka 70% ya GDP yao ni uzembe wa viongozi wa Tanzania, mana nchi yetu imekaa kimkakati, kama Tanzania ikiwa vzr katika kila sector hakuna kichaa atatumia infrastructure au bidhaa za Kenya coz ni wezi na hawaaminiki.
Kuna kunyan youtuber alishawahi kusema siku Watanzania tukigundua as we are potential,hakuna nchi itatukimbiza kimaendeleo EAC,nikamjibu raia wa Tanzania tunatambua hilo ni viongozi wetu tu wamezubaa
 
Maharage ni upotevu wa muda.

Maharage katoka TTCL nadhani, kapelekwa Posta... Pale TTCL yupo in Eng. Ulanga..

Sema TTCL wamekaa kianalojia sana.. Inahitajika transformation ya maana pale. Tatizo sijajua ni funds au human capitals.. Mkongo wa Taifa ni wao Ila bundles zao ni ghali Sanaa.. Na bado hata hiyo option ya fiber inachukua zaidi ya mwezi ndio wakuunganishe.

Soko lipo na hela ipo Sasa sijui wanambwela wapi hawa ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom