Sijui ndo nchi inauzwa kimya kimya watalaam wa uchumi tusaidieni hapa
tunaishi umu umu hahahahaaaaaaaaaaaaaaa wakenya tunajijua ni wajinga always😆😆 eti MKENYA MJINGA
Habari yako mkuu TECHB
View attachment 2552299View attachment 2552300View attachment 2552301
SHAMSIYE BOYS' SECONDARY SCHOOL
![]()
![]()
Ze mosti expensivu school in Tanzaf
umetuonyesha choo na basi...okKaizirege Secondary School kagera tanzania
View attachment 2552244
View attachment 2552245
View attachment 2552247
View attachment 2552250View attachment 2552248
Lanes.......Yani Tz ni kicheko hii sector. Wabongo na Wakenya wenzangu, hapa kuna Theatre tatu.
Moja ni ya the most expensive school in Bongoland
Nyengine ni ya a free school - yani shule iliyojengwa na govt ikishirikiana na Safaricom kusaidia wanafunzi maskini walio gifted to achieve their dreams.
Nyengine ni ya a very recent private school in Kenya. Nataka mnieleze gani ni ya shule gani. Mkijibu mtajua nani mshindi kwa hii ligi.
KANAIRO
Geza Ulole
Teargas
mwathadan
MK254
BlietzKrieg
chongchung
ChoiceVariable
Nicxie
IamLee
Reuben Challe
Sama boy 255
Lemzy
![]()
![]()
![]()
Kuna picha mpya unaonesha humu zaidi ya apartment hzo hzo miaka nenda rudi.Hakuna kilichopo maziwa lala ndio maana picha mnazungusha moja asubuhi hadi jioni. Ingekuwa na kitu cha maana picha mngejaza humu.
Meanwhile, this is South BView attachment 2551784View attachment 2551785View attachment 2551786View attachment 2551787View attachment 2551788
Sio shule tuu, tukitoka shule tunakuja afya, ndiyo maana halisi ya huu uzi mkuu.Masuala ya shule tengenezeni uzi wale mshindanie huko itakuwa vizuri zaidi.
Hehehe naona mshaanza repeat mode😂😂😂.
Unataka nioneshe uswazi wakati apartments ndio tunazo? Kubali hiyo maziwa lala yenu haina cha maana cha kuonyeshaKuna picha mpya unaonesha humu zaidi ya apartment hzo hzo miaka nenda rudi.
lolMPENDAE SECONDARY SCHOOL
![]()
![]()