Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3048.jpeg
 
Kigoma ipo juu ya Kisumu! Kuna
1. The largest lake Port in East and Central Africa
2. Construction of electrical SGR
3. The most Morden shipyard in East and Central Africa
4. The most modern airport in the region
5. About 4 cargo and passenger ships r U/C! Aside the old being modernised!
6. A university is U/C too
7. A bus terminal U/C too..
8. Over 400 km of tarmac roads
You need a brain check

Kigoma is a village, hata haiwezi fikia Marsabit ama Lodwar.🤣🤣🤣
FB_IMG_1703766347338.jpg
FB_IMG_1703766407343.jpg
FB_IMG_1703766426903.jpg
FB_IMG_1703766458099.jpg
FB_IMG_1703766500332.jpg
FB_IMG_1703766523200.jpg
 
Kigoma ina Miradi mingi ya dhamani kubwa kuliko the whole of Kenya!
9. Malagarasi HEP project

 
Kigoma ina Miradi mingi ya dhamani kubwa kuliko the whole of Kenya!
9. Malagarasi HEP project

Miradi or not, comparing Kigoma to Kisumu is like comparing a domestic cat to a lion and it summarises the blind patriotism you Bongolalas exhibit on this thread.
 

Umesoma hizo comments za watu?
Kigoma ina Miradi mingi ya dhamani kubwa kuliko the whole of Kenya!
9. Malagarasi HEP project

Nilisikia ukisema mko na miradi mingi kushinda kenya..nikakucheka tu.. 😁 😁 😁
1703772850673.png
 
Bakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.
Hawa watu sijui kama wana akili mkuu, mimi nikiona kuna taarifa ya kiwanda halafu kuna sura za wachina huwa natupa kapuni.
Yaani mtu atoke china aje na mashine za kusaga mahindi na packaging kisha tunaita kiwanda ? Sisi ni watu wa aina gani ?
 
TIC ni tasisi isio na vision wala mission yoyote kuhusu locals, hakuna taifa duniani limeendelea bila ushiriki madhubuti wa locals na hakuna nchi duniani inayojielewa isiotoa kipaumbele kwa raia wake kwanza, of course zipo kind of investments lazima zitoke nje na hapa hatukatai foreign investments bali hiyo momentum iende sambamba na local empowerment

Hata ukiengalia logo ya TIC imekaa kama lengo lake ni kushughulika na wazungu au weupe tu, angalia rangi ya hiyo mikono, ni kitu kinaweza kuwa kidogo au cha kijinga lakini ni aibu

View attachment 2853461
Boss , unalaumu TIC bure tu,
Ukweli ni kuwa the whole gov is led by average people, kuanzia mama hadi 90% ya wasaidizi wake ni average IQ, yaani tuna bahati mbaya sana kama taifa . Nchi ina vijana wengi wenye talents , lakini zote huishia na kupotea.
Miaka zaidi ya 60 hatuna kitu tunafanya , what are we producing as a Nation ? , Nothing ? Wapi ubunifu? Hatuna technology yoyote , tupotupo tu,
Kwani kuna ulazima gani wa majeshi kuagiza magari ya Iveco wakati Nyumbu wanaweza kutengeneza trucks ?
Ni kweli hatuwezi tengeneza silaha ? Mbona wazee wa zamani waliunda gobole zikafanya kazi vizuri ?
Sasa kama hata bandari au mwendokasi hatuwezi kuendesha tunaweza nini ? Are we sure we are humains ?
 
Back
Top Bottom