The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
eti Marsabit au Lodwar, wewe unaumwa mavi haki ya mama, huko kwenye njaa ya kufa mtu ndiyo ufananishe na kigoma? Kenya ni Nairobi tu na Nairobi ni Kenya, hakuna mji mwingine Kenya ufananishe na Tanzania mji wowote ule, Marsabit na Lodwar watu wanakula punda, nyumba za tope ndiyo ufananishe na kigoma kwenye electric SGR, kwenye bandari kubwa namna ile? wewe una kichaa wallahi. Kenya hamuiwezi Tz kwa lolote.You need a brain check
Kigoma is a village, hata haiwezi fikia Marsabit ama Lodwar.🤣🤣🤣
View attachment 2855540View attachment 2855542View attachment 2855544View attachment 2855545View attachment 2855547View attachment 2855549