Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Rwandan investor wins back $2.6m company from Kenyan trader
Judge said Desire Muhinyuza had proved he wired $29,000 from Rwanda for the company to start its operations.
Hatunaga ujinga wa kununua ma dustbin pans ya Kunyaland
Kitu piruuu kutoka China
View: https://www.instagram.com/p/C1W1JGpKhuv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==View attachment 2854674View attachment 2854675View attachment 2854676View attachment 2854677
mi kinacho-bore ni kuitaja Tanzania na ma-bus yao ya kishamba!Hivi hawa wakunya wanaona quality ya workmanship kwenye hivi vyombo ukilinganisha na vyao ama ni blind patriotism ndio inawasumbua?
Dunia nzima inatumia chinnese bus wao sijui wako ulimwengu gani 😅😅😅😅😅Hivi hawa wakunya wanaona quality ya workmanship kwenye hivi vyombo ukilinganisha na vyao ama ni blind patriotism ndio inawasumbua?
wako kwa Isuzu truck chassis!Dunia nzima inatumia chinnese bus wao sijui wako ulimwengu gani 😅😅😅😅😅
England hii 👇👇👇👇
View attachment 2854799
View attachment 2854801
Tena chasis ni za lorry sio bus 🤣🤣🤣🤣wako kwa Isuzu chassis!
Haya sasa compare na izo takataka mnauziwa.
Na zile takataka za mitungi ya chang'aa mlizouziwa na wachina je; unasemaje?Haya sasa compare na izo takataka mnauziwa.
It's like heaven and hell.
Tz upinzani Bado hawajajipangaVyama vyote vya upinzani kwenye nchi hii vina hali na morali wa kuiletea Tanzania Maendeleo.......ifike hatua hiki Chama cha Mapinduzi kipumzike
Haiwezekani tunaelekea miaka 70 toka uhuru ni Chama kile kile kipo kwenye dola na bado kinafanya machafu kwenye hili taifa......Tunahitaji mawazo mbadala kutoka kwa vyama mbadala ili tuweze fanikiwa
kwani kwenye hizo points ni za simba pekee? za yanga hazipo hapo? msimu uliopita Yanga kacheza fainali unaonaje hapo? sasa nasemaje kila mtu ashinde mechi zake, tuone nani mkubwa.Mkuu hata kama unaishabikia Yanga, weka mapenzi pembeni, simba ameipambania nchi sana CAF, back then Tulikua tunapeleka timu mbili tu, na unakuta zote hazitoboi, hata makundi, Ila Simba kajazia nchi point kama zote now tupo na Uhakika wa kupeleka 4 kila msimu na imefika hadi Timu moja ya TZ inaanzia mechi ya mwisho ya mtoano.
Kwako hayo sio mafanikio?
Ndio Yanga anacheza vizuri now, vipi kama kusingekua na timu yoyote iliyotoboa CAF, unadhani yanga Malengo yao yangekua wapi kama si kuingia makundi tu, kwa sababu simba ashapiga Robo mpaka imezoeleka, Yanga mkaweza weka malengo mpaka Nusu to up,
Simba aheshimiwe tafadhali. Tusingekua huku kutambia watu CAF.
sawa sawa mkuu, tusubiri tuone. hakuna visingizio vya point mana kama point sio za Simba pekee, Yanga msimu uliopita kaipa hii ligi points nyingi sn kwa kucheza kwake fainali ya confederation.Ni kweli mwaka huu mngeingia ki vyovyote ila kama msingekuwa mabingwa, bado mgekuwa na nafasi kwasababu ya rekodi tuliyoiweka. Tusiongee mengi, tusubiri tuone nani atafika mbali CAF.
champions league imeanza lini na Simba kacheza lini hiyo semi.There is a big difference between using borrowed money for intended projects and mismanagement of borrowed funds to enrich political elites
Unajitoa ufahamu sio kwenye hiyo link under champion league hujaona Simba semi final ama ni mapenzi tuu na timu yako?
Bus padded na carpet inside ni upuuzi mtupu.mi kinacho-bore ni kuitaja Tanzania na ma-bus yao ya kishamba!