Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,702
- 107,146
Najua Historia vyema na how walivyofinance mradi wa Tazara na ni kweli China back then walikuwa na njaa but still, they were far much better than us, sisi ambao tulikuwa na mainjiania wawili tu na madaktari 12 to a point kwamba, manesi zaidi ya 20 walitolewa kisiri Africa ya Kusini kuja kupiga tafu baada ya manesi wa Kizungu kusepa kwa madai hawawezi ishi kwenye nchi inaongozwa na mtu mweusi. Fuatilia page yangu ya twitter kuhusu mambo haya na mengine, siropoki naongea nikiwa naushahidi. They were poor but far much better than us na sisi tulijitoa mno na ndio jambo lilipeleka kuwa na uchumi tulionao leo. Kauli hii ya Ramaphosa sio ya kwanza, ni ya tatu.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1295164182053126144?s=20
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1731674083937407171?s=20
Nikufuatilie kwa upeo upi ulionao? Wa kujifananisha na China? Kwa doctrine ipi tuliwahi kuwa nayo? philosophers wetu wako wapi?