Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila mara nakukumbusha kuhusu upumbavu wako. Mnaleta ujinga kwenye maisha ya wengine. Nyie wengi wenu ni wapumbavu sana, mmeshindwa hata kujua Kidiplomasia Israel-Tanzania hazijakaa vizuri.

Mnaanza kusambaza narratives na picha kwa kujastifai mauaji ya kinyama aliyofanyiwa Mtanzania kwa sababu waliofanya ni Miungu yenu?
Joshua hata kwa karibu hafanani na hizo picha.

View attachment 2848266

View attachment 2848274

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1737404278996619285?s=20

Inashangaza na inatia kichefuchefu watanzania ndio wanaowatetea hamas just kwa sababu ya dini tu, waafrika tuliwezwa na hizi dini kiukweli na kuna madini mengine saivi yamehalalisha ushoga
 
China wamesuport Ukombozi wakia kwenye ahueni ya kiuchumi, sio kama sisi ambao tuliachiwa nchi ikiwa kama msitu wa minazi.
una uhakika? hebu leta uo uahueni ninavyojua mimi hata fedha za TAZARA zilitolewa kipindi cha protests za cultural revolution yaani great leap forward kukiwa na njaa kali! Hivi vitu chunguza undani wake usiwe mtu wa kuropoka na kuwa mwepesi wa kujifananisha!
 
Inashangaza na inatia kichefuchefu watanzania ndio wanaowatetea hamas just kwa sababu ya dini tu, waafrika tuliwezwa na hizi dini kiukweli na kuna madini mengine saivi yamehalalisha ushoga
Wayahudi waache kukalia Ardhi za Wapalestina, vinginevyo mtaingia mliomo na wasiokuwemo.

Tanzania na Palestine ni marafiki wa kihistoria Nyerere na Arafat.

Nyie Wayahudi wa Tandahimba ndio mnalazimisha urafiki na Israel wakati tiliwahi timua Ubalozi wao.
 
una uhakika? hebu leta uo uahueni ninavyojua mimi hata fedha za TAZARA zilitolewa kipindi cha protests za cultural revolution yaani great leap forward kukiwa na njaa kali! Hivi vitu chunguza undani wake usiwe mtu wa kuropoka na kuwa mwepesi wa kujifananisha!
Najua Historia vyema na how walivyofinance mradi wa Tazara na ni kweli China back then walikuwa na njaa but still, they were far much better than us, sisi ambao tulikuwa na mainjiania wawili tu na madaktari 12 to a point kwamba, manesi zaidi ya 20 walitolewa kisiri Africa ya Kusini kuja kupiga tafu baada ya manesi wa Kizungu kusepa kwa madai hawawezi ishi kwenye nchi inaongozwa na mtu mweusi. Fuatilia page yangu ya twitter kuhusu mambo haya na mengine, siropoki naongea nikiwa naushahidi. They were poor but far much better than us na sisi tulijitoa mno na ndio jambo lilipeleka kuwa na uchumi tulionao leo. Kauli hii ya Ramaphosa sio ya kwanza, ni ya tatu.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1295164182053126144?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1731674083937407171?s=20
 
Back
Top Bottom