Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni bora kuliko wale wa Mwendazake wanaohangaika kulazimisha mtu wao!
Magufuli ni Raisi bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania hata wewe mwenyewe moyoni unajua hilo na quotes zako nnazo ukipinga nitag nikuletee, ulitoa ushauri fulani hivi kwenye uzi wako na Magu akaufanyia kazi, wewe unamkubali sn Magu sema maisha ya kiafrika yanajulikana bila unafki tonge litaingia kwa tabu kinywani, Bashe pia ni mfuasi wa Magu na aliwekwa serikalini kwa mara ya kwanza na Magu huyo huyo, hii ni kutokana na ukweli kwamba Magu hakubagua, ukiwa genius hata kama unampinga anakupa kitengo, kama Bashe alikuwa anakosoa sn serikali ila Magufuli akaona ana point zen akampa kitengo. Ni ngumu sana kumtofautisha Magu na Tanzania mpya, ni ngumu mno hata wewe unajua.
 
Huyu Msomali Anapiga kazi sana na hana uchawa kama wale viongozi wengine wa CCM.

Anapaswa aiongoze hii nchi ila bahati mbaya hayupo kwenye ule mkeka wa "WATEULE"

Ila anapaswa atuambie ni kwanini Hamas wamemuua kijana wetu Joshua
Wote walio kwenye kuumendea urais baada ya mama wana skendo za wizi,nq imani Mungu atafanya miujiza wale.wezi watuhumiwa wasifanikiwe dhamira yao
 
Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.

Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
Screenshot_20231220-141027.jpg
 
Bashe ni moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kuwanao hapa nchini, this bro is doing great job 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1EIHcDMT7J/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.

Harafu utamsikia mtu anasema awe Rais sijui PM.

Kuna Majitu mapumbavu ,unamtoa mtu kwenye sekta nyeti inayohitaji brain power yake unampeleka kwenye siasa.

Ndio maana namkubali mama,sio tuu Bashe this time around tuna Watu sahihi kwenye maeneo mengi ila kwenye Ufugaji pale Bado hapajapata mtu sahihi wanafanya kazi za Zima moto tuu.

Mwisho narudia tena kusema Mama alikosea kumtoa Maharage Tanesco maana alikuwa na plan ambayo sio ya siasa ila amewaleta Hawa wa Sasa kuanzia Waziri Hadi huyo MD wanaopiga siasa badala ya kuja na majawabu.
 
Back
Top Bottom