Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli ni Raisi bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania hata wewe mwenyewe moyoni unajua hilo na quotes zako nnazo ukipinga nitag nikuletee, ulitoa ushauri fulani hivi kwenye uzi wako na Magu akaufanyia kazi, wewe unamkubali sn Magu sema maisha ya kiafrika yanajulikana bila unafki tonge litaingia kwa tabu kinywani, Bashe pia ni mfuasi wa Magu na aliwekwa serikalini kwa mara ya kwanza na Magu huyo huyo, hii ni kutokana na ukweli kwamba Magu hakubagua, ukiwa genius hata kama unampinga anakupa kitengo, kama Bashe alikuwa anakosoa sn serikali ila Magufuli akaona ana point zen akampa kitengo. Ni ngumu sana kumtofautisha Magu na Tanzania mpya, ni ngumu mno hata wewe unajua.
Huyo mtu wako ni Bora akisimamiwa sio kusimama kama yeye,hakufaa kuwa Rais ana mihemko,anakurupuka mpenda sifa,katili na very arrogant na angeingia awamu ya pili angeleta disaster Nchini.

Unaweza ona Samia anavyosogeza Nchi hii Kila sekta na bila visingizio,bila mihemko na bila kukurupuka and she has vision.
 
Mwanza
Screenshot_20231220-081307.jpg
 
Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.

Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106
Kila mara nakukumbusha kuhusu upumbavu wako. Mnaleta ujinga kwenye maisha ya wengine. Nyie wengi wenu ni wapumbavu sana, mmeshindwa hata kujua Kidiplomasia Israel-Tanzania hazijakaa vizuri.

Mnaanza kusambaza narratives na picha kwa kujastifai mauaji ya kinyama aliyofanyiwa Mtanzania kwa sababu waliofanya ni Miungu yenu?
Joshua hata kwa karibu hafanani na hizo picha.

1703083443564.png

1703083499613.png

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1737404278996619285?s=20
 
View attachment 2848266

View attachment 2848274

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1737404278996619285?s=20

Inasikitisha Apumzike kwa Amani!
 
Wanapiga sana kazi hawa wana. Na sisi tungekuwa huku kama sio Nyerere kujichanganya na karata za Ukombozi wa Africa. Viwanda vyetu vya kielectronik vya National leo tungekuwa tunafyatua Redio, Flat Screens, Simu, na mengine mengi.
Hapa sasa ndo huanza kujichanganya! China ime-support pia ukombozi wa Africa ukiacha Vietnam na sehemu mbalimbali na wapo hapo walipo!
 
Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.

Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106
What a dumb post. Put aside the complete lack of logic, the guy in the picture doesn't even look like him at all. LOL! this is so dumb. Wow!
 
Back
Top Bottom